Spika Ndugai awaapisha Humphrey Polepole na Riziki Lulida. Asema Bunge linawatambua Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofutiwa uanachama CHADEMA

Spika Ndugai awaapisha Humphrey Polepole na Riziki Lulida. Asema Bunge linawatambua Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofutiwa uanachama CHADEMA

Ukuwa makini sana kwa siasa za Tz unaweza ukachizi bure. Lini speaker wa CCM amuonee huruma Halima mdee eti alivujika mkono kwajili ya Mbowe, wakati nyie CCM ndo mliwavunja duh
Cha kushangaza ni Ndugai huyohuyo ndio alimfungia Halima Mdee mwaka mzima kutokukanyaga bungeni. Leo eti ana mahaba naye! Kama kuna motoni kweli basi huyu atakuwa kuni.
 
Amini usiamini... kuwa mwana-CCM raha sana! Yaani huumizi kichwa!!!
MKuu kwa kejeli hizi huwasaidii Chadema bali unawapoteza. Ulitakiwa, ninavyodhani, uwape maelekezo wafungue kesi ya kikatiba ama ya aina yoyote ile na inyofaa kuhoji na kupinga utekelezaji wa shughuli za bunge chini ya Mheshimiwa Spika Ndungai. Ni hayo tu!
 
IMG_9607.jpg
 

Attachments

  • IMG_9607.jpg
    IMG_9607.jpg
    93.2 KB · Views: 1
Hao ni wabunge wa ccm siyo chadema
Chadema washafukuzwa uanachama.
Hata hivyo Tanzania iliondoka kwenye utawala wa sheria toka mwaka 2016 tumebaki ni miungu watu weusi mwili na roho
Hivi Mbowe ni mwenyekiti mwaka wa ngapi vile?

Ahh, sorry nimesahau kuwa ile ni sacoss!
 
Ahsante sana Mkuu sasa hawa wahuni wameamua kuufanya uhuni wao hadharani kabisa. Duh! Masikini Nchi yangu Tanzania!!
Mmembwela. Kina Mdee siyo wajinga
 
Hivi Mbowe ni mwenyekiti mwaka wa ngapi vile?

Ahh, sorry nimesahau kuwa ile ni sacoss!
Huyo amewasababisha hata ile akili kidogo mliodhaniwa kuwa nayo kuvurujika.

Sasa hivi sii mahaka,, bunge, taasisi yeyote iliyo huru.

Zote zinaulilia uhuru maana wako chini ya kitisho na hofu.

Hata wewe ni mtumwa ndani ya nchi yako ila uwezo wa kutambua hilo huna.
 
Hakuna sababu ya kuendelea kuwa na Katiba. Ni bora IFUTWE TU! Wahuni wameamua kufanya vile watakavyo wao kwani tutawafanya nini?
Noana baada ya kipigo kwenye box la kura ndio unaibuka leo?
 
Back
Top Bottom