Spika Ndugai awaapisha Humphrey Polepole na Riziki Lulida. Asema Bunge linawatambua Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofutiwa uanachama CHADEMA

Sindano imekuingia kisawasawa. Mwanaume hawezi kuwa hasidi kiasi hicho wewe. Yaani I can imagine hapo unavyobeua tindikali kwa dhiki kuu uliyonayo.

Kamsaidie Bulaya maana mzee Mdee amemwelemea huenda ukapunguza shida za maisha.
Inaelekea hiyo michezo mnaipenda sana huko chadema!

Lakini haishangazi maana hata yule mgombea wenu loser alisema atawapa uhuru muwe mnafanyiana faraga bila bughdha
 
Mgonjwa wa akili
 
Inaelekea hiyo michezo mnaipenda sana huko chadema!

Lakini haishangazi maana hata yule mgombea wenu loser alisema atawapa uhuru muwe mnafanyiana faraga bila bughdha

Nenda bidada upinguze ratiba ya dagaa kauzu
 
Nenda bidada upinguze ratiba ya dagaa kauzu
Aisee...hizi zote ni stress za Muastedam kushindwa kwenye box la kura?

Kwani mimi nilikutuma ushabikie hilo chama lenu mfu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nmekumbuka vile vi threads vyako vya kipindi cha kampeni eti Magu anashindana na mamlaka ya mbinguni alafu nmecheka sana!

Hivi ulifikiri Mungu ni Amsterdam? Ona sasa mtu mzima unaandika utopolo kama huo.
 
Bidada mi sina stress hata huyo Kayafa wenu akitawala 40 years consecutively (japo hawezi toboa maana mdudu kamchakaza)

Mimi ni muumini wa mageuzi toka rohoni na wala sifanyi kwa kutegemea hayo mageuzi yaniokoe laaa!

Mwaka wa 15 huu nipo Ulaya sili vumbi wala tope la kinyesi kama wewe.., nikutajie nalipwa ngapi ktk high profile intl organization hapa? Hivi unajua nilikuja hapa as a diplomat? Haha yaani iniume Mimi Lissu kukosa urais? Are you serious?

Teh teh nimekutega kidogo tu umejaa kwenye sinia umeonesha dhahiri unyani wako ulipo.

Kwahiyo wewe unaeshabikia Chama Tawala hizo dagaa utaziacha lini?
 
MUSWADA WA VYOMBO VYA HABARI
HATI YA DHARURA

Ni marufuku kwa chombo cha habari kumhoji mstaafu
 
2017, CCM ilimfukuza Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT na mbunge wa VM) kwa tuhuma zikiwepo kumuunga mkono Edward Lowassa (aliyehamia CCM wakati huo). Lakini Ndugai hakusimama kusema CCM hii ya Magufuli inawanyanyasa wanawake. Ikawasamehe wanaume na kumpa adhabu mwanamke.
 
Polepole ni akili kubwa, huna mamlaka ya kuhoji uwezo wake. Ni wapi Katiba imetamka kwamba Mbunge wa kuteuliwa na Rais ni hadi pale Wabunge waliopo Bungeni watakosa sifa anazozitaka Rais?
2017, CCM ilimfukuza Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT na mbunge wa VM) kwa tuhuma zikiwepo kumuunga mkono Edward Lowassa (aliyehamia CCM wakati huo). Lakini Ndugai hakusimama kusema CCM hii ya Magufuli inawanyanyasa wanawake. Ikawasamehe wanaume na kumpa adhabu mwanamke.
 
Ulitaka akuteue wewe?

Of course ni kweli bado ni wabunge, taarifa lazima ziende NEC then ndio ziende kwa Spika. Zikifika kwa Speaker akatae tuone.
Which NEC are you talking about exactly...!?!....hii hii iliyo chin ya Mr Chairman au.
 
Mahakama za wapi muongo huu tuliouanza 2016?
 
Ndio maana nikakuambia una stress!

Sasa haya uliyoandika hapa ndio ili iweje?

Mtu mjinga utamuona tu kwenye kujibishana!

Kumbe mtu unajiita uko Ulaya alafu ulikuwa unakata viuno humu eti ni yeye,

Yani Lisu alikuwa anategemea watu wajinga kweli katka safari yake ya kwenda ikulu.
 
Ndugai Fala tu
 
Which NEC are you talking about exactly...!?!....hii hii iliyo chin ya Mr Chairman au.
It doesn't matter mkuu... ndio serikali tuliyonayo na ndivyo inavyofanya kazi. Ukweli mchungu ni kwamba Ndugai hawezi kufanyia kazi press ya Mbowe. Inakera lakini ndio ukweli
 
It doesn't matter mkuu... ndio serikali tuliyonayo na ndivyo inavyofanya kazi. Ukweli mchungu ni kwamba Ndugai hawezi kufanyia kazi press ya Mbowe. Inakera lakini ndio ukweli
Kwamba wakati Sophia Simba alipofukuzwa Uanachama ccm ndiyo press pekee ambayo alitakiwa kukifanyia kazi?

Bahati nzuri au mbaya danadana zote hizi ni rejea za baadae kwa watakaokua hai. Mbowe na timu yake najua wanazo pesa za kula kwa miaka kidogo ila anaemruhusu Job Ndugai kutumia mamlaka ya uspika kukeuka taratibu tulizojiwekea kama nchi kwenye katiba yetu siyo afya njema kwa watoto wetu na bali siyo kuwakomoa CHADEMA.
CHADEMA ni jina tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…