Spika Ndugai awaapisha Humphrey Polepole na Riziki Lulida. Asema Bunge linawatambua Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofutiwa uanachama CHADEMA

Spika Ndugai awaapisha Humphrey Polepole na Riziki Lulida. Asema Bunge linawatambua Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofutiwa uanachama CHADEMA

Kifungu cha Katiba kinachotamka mbunge lazima awe mwanachama/awakilishe chama cha siasa bado kipo mpaka leo.

Hivyo Ndugai anavyosema wazee waachwe wapumzike mambo ya sasa yamebadilika sio kama wakati uliopita anazidi kujidharaulisha mbele ya umma wa watanzania, na anazidi kulifanya bunge kama chombo cha kutunga sheria lizidi kudharauliwa, na zaidi anazidi kuwafanya wadharaulike wale wote anaowatetea.
 
Ahsante sana Mkuu sasa hawa wahuni wameamua kuufanya uhuni wao hadharani kabisa. Duh! Masikini Nchi yangu Tanzania!
Kuna mtu humu jamvini jana alisema mwakani tutakuwa na Rais Mwanamke na Spika Mwanamke. Sijui alikuwa na maana gani??
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa hiyo ukifukuzwa uanachama bado unaendelea kuwa mbunge, Hivi watalaam wa katiba mpo wapi mbona katiba inakanyagwa mmekaa kimya! Kwanza hao ubunge wameupataje! Watanzania siku mkiamka mjue jua limezama.RIP Jomo Kenyatta.
Wabunge watakoma kama chama kilichowafukuza kitawasilisha barua rasmi kwa spika kumjulisha kuwa kufukuzwa rasmi uanachama hili nalo ni takwa la kikatiba wajameni.Sasa swali chadema wamewasilisha barua? Tusiwe walalamishi badala ya kutii sheria bila shuruti
 
Mwaka 2017 CCM ilimfukuza M/kiti wa UWT Sophia Simba aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ndugai hakusema ni unyanyasaji wa kijinsia​

One could argue two wrongs do not make a right.

Mimi swali langu, ambalo bado sijapata jibu lake, ni hili.

Hao wabunge 19 ni wabunge kwa kupitia chama gani?
 
ANAENDELEA KUAPISHIA VICHOCHORONI. BUNGE LILIKUWA LA SITTA LIKIWAAPISHA WABUNGE BUNGENI, LIKAANZA KUUGUA KWA ANNA LAKINI LIKIUGULIA BUNGENI NA LIKAFIA LIKIAPISHWA KWENYE MADANGULO NA VICHOCHORO VYA JOB
 
Nafasi kumi alizopewa Rais na Katiba ya JMT ni kama katika wabunge waliopo hakuna mtu ana sifa anazotaka lakini sio mbunge ndio anateua sasa huyu wetu anateua watu wa ovyoovyo ili kujaza makasuku kule mjengoni shida
Siyo kweli; wabunge 10 wanaongeza idadi ya wabunge mjengoni
 
Pumbavu Ndungai in Lissu’s voice,mmeharibu Uchaguzi na mnatuharibia katiba yetu na kuleta ya Lumumba/Magufuli
 
Kwa umri ulionao mzee wetu Spika Ndungai unapaswa kua na busara za hali ya juu kupita kiasi. Tangu bunge la JMT lianze hakuna spika hata mmoja uliyefikia busara zake hata kidogo.

Ni unaweza kuthibitisha ni wapi Mhe Mbowe amewatukana wale kina mama 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA?
Acha kuingilia mambo ya chama kisichokuhusu na wala huna mandate ya kukisemea Chadema Kama chama. Hata CCM chama chako huna mandate pia ya kukisemea, kina wasemaji wake pia.
 
Ndugai amechacha mpaka mwisho. Stupid speaker!
 
Nimeamini kuwa wivu ni jambo baya sana. Halafu kuwa na adabu mpumbavu wewe, jaribu kuheshimu wakubwa wako, jinga kabisa.
Kunywa sumu mavi yako
We mwenyewe huna adabu unataka mwenzako awe na adabu
 
Kwa umri ulionao mzee wetu Spika Ndungai unapaswa kua na busara za hali ya juu kupita kiasi. Tangu bunge la JMT lianze hakuna spika hata mmoja uliyefikia busara zake hata kidogo.

Ni unaweza kuthibitisha ni wapi Mhe Mbowe amewatukana wale kina mama 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA?
Acha kuingilia mambo ya chama kisichokuhusu na wala huna mandate ya kukisemea Chadema Kama chama. Hata CCM chama chako huna mandate pia ya kukisemea, kina wasemaji wake pia.

Bila kuwatolea uvivu hawa watu wanadhani wanatumiliki kama mifugo yao tu.
 
Back
Top Bottom