Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 723
SawaNimeamini kuwa wivu ni jambo baya sana. Halafu kuwa na adabu mpumbavu wewe, jaribu kuheshimu wakubwa wako, jinga kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaNimeamini kuwa wivu ni jambo baya sana. Halafu kuwa na adabu mpumbavu wewe, jaribu kuheshimu wakubwa wako, jinga kabisa.
Kuna mtu humu jamvini jana alisema mwakani tutakuwa na Rais Mwanamke na Spika Mwanamke. Sijui alikuwa na maana gani??Ahsante sana Mkuu sasa hawa wahuni wameamua kuufanya uhuni wao hadharani kabisa. Duh! Masikini Nchi yangu Tanzania!
Wabunge watakoma kama chama kilichowafukuza kitawasilisha barua rasmi kwa spika kumjulisha kuwa kufukuzwa rasmi uanachama hili nalo ni takwa la kikatiba wajameni.Sasa swali chadema wamewasilisha barua? Tusiwe walalamishi badala ya kutii sheria bila shurutiKwa hiyo ukifukuzwa uanachama bado unaendelea kuwa mbunge, Hivi watalaam wa katiba mpo wapi mbona katiba inakanyagwa mmekaa kimya! Kwanza hao ubunge wameupataje! Watanzania siku mkiamka mjue jua limezama.RIP Jomo Kenyatta.
One could argue two wrongs do not make a right.Mwaka 2017 CCM ilimfukuza M/kiti wa UWT Sophia Simba aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ndugai hakusema ni unyanyasaji wa kijinsia
Siyo kweli; wabunge 10 wanaongeza idadi ya wabunge mjengoniNafasi kumi alizopewa Rais na Katiba ya JMT ni kama katika wabunge waliopo hakuna mtu ana sifa anazotaka lakini sio mbunge ndio anateua sasa huyu wetu anateua watu wa ovyoovyo ili kujaza makasuku kule mjengoni shida
Nilijua tu, kitakachofuata ni hiki ulichouliza hapaHaha hahaha hahahha kwa hiyo wanaapishana kibarazani kuupa uhalali ule mchakato wa uapishwaji wa kina covid19
Kunywa sumu mavi yakoNimeamini kuwa wivu ni jambo baya sana. Halafu kuwa na adabu mpumbavu wewe, jaribu kuheshimu wakubwa wako, jinga kabisa.
Kwa umri ulionao mzee wetu Spika Ndungai unapaswa kua na busara za hali ya juu kupita kiasi. Tangu bunge la JMT lianze hakuna spika hata mmoja uliyefikia busara zake hata kidogo.
Ni unaweza kuthibitisha ni wapi Mhe Mbowe amewatukana wale kina mama 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA?
Acha kuingilia mambo ya chama kisichokuhusu na wala huna mandate ya kukisemea Chadema Kama chama. Hata CCM chama chako huna mandate pia ya kukisemea, kina wasemaji wake pia.