johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tukio liko mubashara TBC
Karibu.
Updates;
Jumla ya wabunge wanne wa ACT wazalendo wanakula kiapo cha uaminifu mbele ya Spika Job Ndugai.
Walioapa
1. Khalifa Mohamed Issa Mbunge wa jimbo la Mtambwe
2. Khatibu Said Hajji, Mbunge wa Jimbo la Konde
3. Omari Ali Omari wa Jimbo la Wete
4. Salum Mohammed Shafii Mbunge wa Jimbo la
===
ACT-WAZALENDO: HATUTAKWENDA UJERUMANI WALA CANADA KULALAMIKIA MASUALA YA TANZANIA
Mbunge wa Jimbo la Konde kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Khatibu Said Hajj amesema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi.
Ameyasema hayo katia hafla ya uapisho wa wabunge wanne wa Zanzibar. Ambapo pia ametoa shukrani kwa Rais Hussein Mwinyi na Maalim Seif Hamad.
Amesema maamuzi yaliyofanywa na viongozi wa Juu wa Chama cha ACT-Wazalendo yalikuwa ni kwa maslahi mapana ya wazanzibar na wale wanaokebehi mapatano yao wataona aibu kwa kebehi zao.
Amesema Maridhiano yanapaswa kuungwa mkono na kila mtanzania badala ya kudharau mapatano hayo. Na mambo ya Zanzibar ni watanzania wote, aidha wamesahau yote yaliyotokea na kusamehe.