Spika Ndugai awaapisha Wabunge wateule wa ACT-Wazalendo. Mbunge wa ACT asema masuala ya Tanzania yatazungumzwa Tanzania na sio nje ya nchi

Mnabwabwaja tu MATAGA hata kwa yale msiyouyajua!
 
Bora waseme ukweli kwa sababu kuna watu walikuwa wanafaidika na Ugomvi wa Wazanzibar .Rais Hussein Ali Mwinyi kwa kweli amewakomoa vilivyo.
 
Yajato yanafurahisha! Kwa zitto na maalim seif nilijua watakuja kuwakana wenzao tu. Hawa watu ni mandumilakuwili miaka yote.Fuatilieni historia yao na usaliti wao kote walikopita mtalijua hilo.
 
SUPPORT!
 
Act wazalendo nayo imeungana na akina Nccr, Cuf, Tlp, Udp nk.!!

Nchi hii haiwezi kujengwa na watu wenye fikra za aina moja. Mwisho wa siku sasa tutaona wapinzani wa kweli baada ya hao feki kujiunga upande wa dhuluma na kuisaliti haki.

Watanzania wanapokataa kuandamana huenda wana sababu ya msingi kama watu wanaotaka wengine waandamane ndio hawa ambao hata hawajui wanachokitafuta ni nini.

Mabadiliko yanayotakiwa katika nchi hii yatakuja lkn baada ya nchi kuwa imeisha kabisa kiuchumi na uchumi wenyewe ndio hivyo umeanza kwenda south.. na ndio maana takwimu zinazidi kuongezeka tu kila siku.
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewataka Watanzania kutoikimbia nchi yao kwani ni mahala salama pa kuishi.
 
Mmm ni kweli Salama Lkn sio October [emoji51] tumevunjwa miguu sana na tumepoteza ndugu zetu ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…