Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 913
- 844
Mnabwabwaja tu MATAGA hata kwa yale msiyouyajua!Uko sahihi hao walioingia bungeni ndio walipigania sana Chadema kwenye dhiki milima na mabonde watanisamehe bure wengine wakawa mahawara wa viongozi wa Chadema makao makuu lakini lakini Chadema ilipopata nguvu wakaja wapya wakawabwaga kutafuta vyuma vipya wakawaona vikongwe....