johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Spika wa bunge Mh Ndugai amesema bunge lake limefanya mambo mengi makubwa lakini watu hawayaoni tu au hawataki kuyasema na kusifia.
Amesema bunge analoliongoza limeweka historia ya pekee tangu bunge hilo liasisiwe ya kupeleka wabunge zaidi ya 70 Cairo nchini Misri kuishangilia timu ya taifa yaani Taifa stars.
Chanzo: Channel ten
My take; Nakumbuka hata Piere Liquid alikuwa kwenye msafara.
Maendeleo hayana vyama!