Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Spika dhaifu sana tena mwoga sana. Huwa hawezi kuvumilia kusikiliza hoja mbadala. Bunge chini yake limekuwa dhaifu sana na lenye mipasho tu badala ya hoja. Nimemis Spika Sita. Bunge hili limemaliza muda wake kwa kupitisha sheria za kumkinga ili asishitakiwe kwa kuwa anajua madhaifu aliyopitisha yanayoweza kumfikisha kotini. Ana chukibinafsi. Kwa mfano alikuwa anamchulia sana Halima Mdee na Mbowe kiasi kisichisitirika. Wakati wa kampeni kule Kongwa alimchapa fimbo mpinzani wake. Huyu alifaa kuwa spika wa familia yake lakini kwa udhaifu alio nao nadhani hata familia haimudu.Asisahau amekuwa spika wa kwanza, kushurutishwa kulazimisha adhabu kwa wabunge wake ili wakashughulikiwe nje ya Bunge.
Na pia tofauti na waliopita hawakuwahi kutuhumiwa isipokuwa Ndugai (matibabu ya Apollo)
Spika wa bunge Mh Ndugai amesema bunge lake limefanya mambo mengi makubwa lakini watu hawayaoni tu au hawataki kuyasema na kusifia.
Amesema bunge analoliongoza limeweka historia ya pekee tangu bunge hilo liasisiwe ya kupeleka wabunge zaidi ya 70 Cairo nchini Misri kuishangilia timu ya taifa yaani Taifa stars.
Source: Channel ten
My take; Nakumbuka hata Piere Liquid alikuwa kwenye msafara.
Maendeleo
Failure to distinguish MAJOR, MINOR and PETTY issues.!!