johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Labda Mwele!Kutumia Kodi za wananchi kwenda misri nayo
Ni achievement?..
Hivi kuna Mgogo mwenye akili? Sijawahi ona so far
Ama kwa hakika utakumbukwa vizazi haiwezekani wabunge wang'are kumpita spika anaewasimamia miaka mitano mingine ni yako mzee baba!Spika wa bunge Mh Ndugai amesema bunge lake limefanya mambo mengi makubwa lakini watu hawayaoni tu au hawataki kuyasema na kusifia.
Amesema bunge analoliongoza limeweka historia ya pekee tangu bunge hilo liasisiwe ya kupeleka wabunge zaidi ya 70 Cairo nchini Misri kuishangilia timu ya taifa yaani Taifa stars.
Source: Channel ten
My take; Nakumbuka hata Piere Liquid alikuwa kwenye msafara
Maendeleo hayana vyama!
Bunge lako au Bunge la Wananchi ?Spika wa bunge Mh Ndugai amesema bunge lake limefanya mambo mengi makubwa lakini watu hawayaoni tu au hawataki kuyasema na kusifia.
Amesema bunge analoliongoza limeweka historia ya pekee tangu bunge hilo liasisiwe ya kupeleka wabunge zaidi ya 70 Cairo nchini Misri kuishangilia timu ya taifa yaani Taifa stars.
Source: Channel ten
My take; Nakumbuka hata Piere Liquid alikuwa kwenye msafara
Maendeleo hayana vyama!
CCM ni chama kikubwa kinapendwa na wote!Tuna safari ndefu sanaView attachment 1477911
Huyo peke yake. The rest ndio kama hivyoLabda Mwele!
Le mutuz ni mzambia!Hawa Wagogo wana matatizo gani? Hii si sawa tu na yule aliyegombea u Bunge wa Afrika Mashariki na kusema moja ya mafanikio yake ni kufanya sherehe ya kumkaribish Dr Asha Rose Migiro New York kama Naibu Katibu Mkuu wa UN.
Look at this fool. Hiyo nayo ni moja ya mafanikio.Spika wa bunge Mh Ndugai amesema bunge lake limefanya mambo mengi makubwa lakini watu hawayaoni tu au hawataki kuyasema na kusifia.