Spika Ndugai hamia CHADEMA, CCM kuna udikteta na hawapendi kukosolewa

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Jiulize kama mkuu wa bunge na mhimili unaopaswa kujitegemea kuisimamia serikali umefanya kosa gani?

Kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 ambao unatumika kujengea madarasa na vyoo.

Wewe unasimamia Bunge na linatakiwa kuwa imara ili kuisimamia serikali.

Sio Bunge linalodharaulika kama Prof Assad alivyodai. Kwa ujumla huna kosa. Hamia CHADEA ili uikosoe CCM vizuri.
 
Anao huo ubavu

USSR
 
..Ndugai ana inferiority complex.

..yale mahasira yake dhidi ya upinzani ni kwasababu ya imani yake kwamba wanamdharau.

..majuzi amedai vyombo vya habari vinamuandika vibaya kwasababu ya kabila lake Mgogo.

..kama Wagogo wanadharaulika Ndugai amechukua hatua gani ktk miaka 20 ambayo amekuwa kiongozi na mbunge wao?
 
Mwambie ahamie na covidy 19 kwenye chama Cha wagogo.
 
Huko ndio kabisaa huwezi mgusa mwamba
 
Ahamie wap?? ShIndwaa Pepopunda!! Abaki hukohuko asee.
 
Nani anaelitaka hilo dubwasha lenu?
 
Kwamba CHADEMA ni dampo la kupokea takataka za kila aina sio!!
 
Ndugai anao uwezo wa kukwamisha bajeti ya serikali nchi ikarudi kwenye uchaguzi mkuu, aache kulialia atumie rungu la mhimili wa bunge...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…