Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walalamikaji walipaswa kuwa wananchi,, bahati nzuri/mbaya wananchi waliowengi hawana ufahamu na haya mambo. Fedha iliyotumika kuwalipa wabunge wasio halali mpaka sasa ni nyingi ,fedha hii ingeweza kutumika kusolve matatizo mbalimbali hapa nchini ikiwemo uhaba wa madawati kwenye shule zetu.Kwani akina Halima wanalipwa na nani kwa kuwa wabunge wa bunge LA Jamhuri ya Tanzania? Mbona mlipaji halalamiki wanalalamika cdm na kumlaumu spika? Kwani spika anawalipa hela zake kutoka mfukoni mwake? Kumlaumu spika ni kukosa weledi.
Kwanini hamtaki kumuuliza msajili wa vyama, waziri wa Katiba, waziri wa fedha, waziri wa mambo ya ndani na waziri wa utumishi kwenye hili?
Na kwanini muulizaji awe cdm? Kazi ya cdm iliishia pale ilipoyakataa matokeo na kuwafukuza akina Halima baaaaaaaasi!! Kulikobakia ni mission towns na mbinu za medani za kutafuta maisha za akina Halima baada ya cdm kuyasusia matokeo na hatimae kufukuzwa uwanachama.
Kakojoeni mlale msubiri 2025
Kazi ya Mahela na Mwendazake hiyo......!!Kiukweli kabisa, hili la hawa wabunge litaleta shida sana, ni labda tuachane nao au tushinikize maamuzi magumu. Kwasababu hawa wapinzani bungeni wanahitajika ili kutumiza masharti fulani fulani ndio maana wanawang'ang'ania.
Kwahiyo ni either waachwe au bunge livunjwe tufanye uchaguzi upya kupata balance ya upinzani bungeni. Walioiba uchaguzi hawakuwa smart enough kulifikiria hili matokeo yake ni huu mvutano.
Ewe, je watambua mie ni baba yako, maoni yangu nimejadiliana na mama yako, una laana wewe!Kwani akina Halima wanalipwa na nani kwa kuwa wabunge wa bunge LA Jamhuri ya Tanzania? Mbona mlipaji halalamiki wanalalamika cdm na kumlaumu spika? Kwani spika anawalipa hela zake kutoka mfukoni mwake? Kumlaumu spika ni kukosa weledi.
Kwanini hamtaki kumuuliza msajili wa vyama, waziri wa Katiba, waziri wa fedha, waziri wa mambo ya ndani na waziri wa utumishi kwenye hili?
Na kwanini muulizaji awe cdm? Kazi ya cdm iliishia pale ilipoyakataa matokeo na kuwafukuza akina Halima baaaaaaaasi!! Kulikobakia ni mission towns na mbinu za medani za kutafuta maisha za akina Halima baada ya cdm kuyasusia matokeo na hatimae kufukuzwa uwanachama.
Kakojoeni mlale msubiri 2025
Unafahamu ni hela ngapi walilipwa wabunge waliohamia ccm kwa kisingizio cha kwenda kuunga juhudi? Gharama za chaguzi baada ya kuondoka kwenda kuunga juhudi ni ngapi? Mbona mnaziona hizi za akina Halima tu?Walalamikaji walipaswa kuwa wananchi,, bahati nzuri/mbaya wananchi waliowengi hawana ufahamu na haya mambo. Fedha iliyotumika kuwalipa wabunge wasio halali mpaka sasa ni nyingi ,fedha hii ingeweza kutumika kusolve matatizo mbalimbali hapa nchini ikiwemo uhaba wa madawati kwenye shule zetu.
Zaidi ya ubishi wa kitoto na ujinga ,,,hakuna faida ya serikali kuwalipa hawa hela zote hizo.
Hizo za hao waliohongwa ili kuunga juhudi sina uhakika ndugu yangu.Unafahamu ni hela ngapi walilipwa wabunge waliohamia ccm kwa kisingizio cha kwenda kuunga juhudi? Gharama za chaguzi baada ya kuondoka kwenda kuunga juhudi ni ngapi? Mbona mnaziona hizi za akina Halima tu?
Ila nijuavyo loud speaker ikitumika vibaya aidha sauti itachukiza au yenyewe itapasukaNijuavyo mm yeye spika ni kama loud speaker tu ya kukuzia sauti isikike lakini aliyeko nyuma ya mike ni MTU mwingine kabisa