Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

Walalamikaji walipaswa kuwa wananchi,, bahati nzuri/mbaya wananchi waliowengi hawana ufahamu na haya mambo. Fedha iliyotumika kuwalipa wabunge wasio halali mpaka sasa ni nyingi ,fedha hii ingeweza kutumika kusolve matatizo mbalimbali hapa nchini ikiwemo uhaba wa madawati kwenye shule zetu.

Zaidi ya ubishi wa kitoto na ujinga ,,,hakuna faida ya serikali kuwalipa hawa hela zote hizo.
 
Kazi ya Mahela na Mwendazake hiyo......!!
 
Ewe, je watambua mie ni baba yako, maoni yangu nimejadiliana na mama yako, una laana wewe!
 
Unafahamu ni hela ngapi walilipwa wabunge waliohamia ccm kwa kisingizio cha kwenda kuunga juhudi? Gharama za chaguzi baada ya kuondoka kwenda kuunga juhudi ni ngapi? Mbona mnaziona hizi za akina Halima tu?
 
Unafahamu ni hela ngapi walilipwa wabunge waliohamia ccm kwa kisingizio cha kwenda kuunga juhudi? Gharama za chaguzi baada ya kuondoka kwenda kuunga juhudi ni ngapi? Mbona mnaziona hizi za akina Halima tu?
Hizo za hao waliohongwa ili kuunga juhudi sina uhakika ndugu yangu.
Lakini kama ni kweli ,,hizo zote ni haramu. Haramu haisafishwi kwa kufanya haramu nyingine.
 
Nijuavyo mm yeye spika ni kama loud speaker tu ya kukuzia sauti isikike lakini aliyeko nyuma ya mike ni MTU mwingine kabisa
Ila nijuavyo loud speaker ikitumika vibaya aidha sauti itachukiza au yenyewe itapasuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…