Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Samahani kama nakusumbua, hayo maneno mawili ya mwisho ameyatamka Ndugai?Sheria nazo hata ukitoka huwezi kudai chochote, Waafrika hatuthaminiani".
Ndio. Sikiliza video hiiSamahani kama nakusumbua, ...hayo maneno mawili ya mwisho ameyatamka Ndugai?
Tz haijawahi kupata spika wa ajabu kama mzee.Toka aingie bungeni na kuwa subwoofer ,hili ni kitu cha maana amezungumza.
Mzee JobTz haijawahi kupata spika wa ajabu Kama mzee
Mtungaji wa sheria anawalaumu wasimamizi wa sheriaSijaona tofauti yake na hao polisi anaowasimanga