Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss Zomboko we nimwandishi wa habari?Spika wa Bunge la Tanzania amesema Polisi wanakamata Watu hovyo wengine wenye heshima zao na wanajulikana wanakoishi lakini wanarundikwa tu Rumande bila ulazima wowote
Ndugai amesema "inatakiwa tujifunze kwa Nchi za wengine ambapo Mtu huwa anaitwa kituoni na kufanyiwa mahojiano kisha kuruhusiwa kurudi nyumbani kwasababu anafahamika na hawezi kukimbia. Huku ukishakuwa Askari tunaona kuweka Watu ndani ni raha"
Ameongeza "Hiki kitu binafsi kinaniuma sana. Mtu anawekwa ndani wiki nzima au mwezi halafu baadae anakuja anaachiwa wakati shughuli zake nyingi zimeshasimama. Sheria nazo hata ukitoka huwezi kudai chochote, Waafrika hatuthaminiani".
Wakati Wakuu wa Wilaya na Mikoa wakiweka watu mahabusu tena mpaka Wabunge mbona hakusema kitu.... Au that time alikuwa hajajua kuongea....!!?Ndugai amelaaniwa, lema amesema bado ndugai naona laana imeanza kumpata.
Hivi ndugai si ndio anabariki na kupitisha masheria ya hovyo ya kuweka watu ndani bila dhamana leo analalamika,akiambiwa spika na bunge ni dhaifu anan'gaka,pumbav kabisa huyu.
Unaweza fikiri sio yeye aliyemfanyizia TL kwenye haki/stahili zake kama mbunge.Sijaona tofauti yake na hao polisi anaowasimanga
Mbona haongelei kuhusu wanao wekwa ndani kwa kesi za kubandikiwa uhujumu uchumi?Spika wa Bunge la Tanzania amesema Polisi wanakamata Watu hovyo wengine wenye heshima zao na wanajulikana wanakoishi lakini wanarundikwa tu Rumande bila ulazima wowote.
Ndugai amesema "inatakiwa tujifunze kwa Nchi za wengine ambapo Mtu huwa anaitwa kituoni na kufanyiwa mahojiano kisha kuruhusiwa kurudi nyumbani kwasababu anafahamika na hawezi kukimbia. Huku ukishakuwa Askari tunaona kuweka Watu ndani ni raha".
Ameongeza "Hiki kitu binafsi kinaniuma sana. Mtu anawekwa ndani wiki nzima au mwezi halafu baadae anakuja anaachiwa wakati shughuli zake nyingi zimeshasimama. Sheria nazo hata ukitoka huwezi kudai chochote, Waafrika hatuthaminiani".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndugai mwenyewe au umemlisha maneno?[emoji23]
Leo Ndugai amevuta cha wapi?Spika wa Bunge la Tanzania amesema Polisi wanakamata Watu hovyo wengine wenye heshima zao na wanajulikana wanakoishi lakini wanarundikwa tu Rumande bila ulazima wowote.