Spika Ndugai: Huku Mtu akishakuwa Polisi anaona kuweka Watu ndani ni raha. Watu wanarundikwa tu mahabusu

Spika Ndugai: Huku Mtu akishakuwa Polisi anaona kuweka Watu ndani ni raha. Watu wanarundikwa tu mahabusu

Spika wa Bunge la Tanzania amesema Polisi wanakamata Watu hovyo wengine wenye heshima zao na wanajulikana wanakoishi lakini wanarundikwa tu Rumande bila ulazima wowote

Ndugai amesema "inatakiwa tujifunze kwa Nchi za wengine ambapo Mtu huwa anaitwa kituoni na kufanyiwa mahojiano kisha kuruhusiwa kurudi nyumbani kwasababu anafahamika na hawezi kukimbia. Huku ukishakuwa Askari tunaona kuweka Watu ndani ni raha"

Ameongeza "Hiki kitu binafsi kinaniuma sana. Mtu anawekwa ndani wiki nzima au mwezi halafu baadae anakuja anaachiwa wakati shughuli zake nyingi zimeshasimama. Sheria nazo hata ukitoka huwezi kudai chochote, Waafrika hatuthaminiani".
Miss Zomboko we nimwandishi wa habari?
 
Ndugai ni uharo
Hapa wanatafuta pa kupitia kuna mtu anapangwa kusafishwa baada ya wao kufanya yao

Ubaya haujawahi kuushinda ukweli
 
Naomba nimtag Ndugai kama yupo humu...
Job Ndugai muheshimiwa wewe si ndiye umeshika mpini wa watunga kanuni zitakazoelekea kuwa sheria?

Iweje leo na wewe unalia lia mbele ya wapitishao sheria zitakazokufanya usiwekwe ndani?
 
Huyu Ndugai kama vipi ajiuzulu uspika, arudi kwenye ubunge, naona kama "kapata akili" sasa
 
Ndugai amelaaniwa, lema amesema bado ndugai naona laana imeanza kumpata.

Hivi ndugai si ndio anabariki na kupitisha masheria ya hovyo ya kuweka watu ndani bila dhamana leo analalamika,akiambiwa spika na bunge ni dhaifu anan'gaka,pumbav kabisa huyu.
Wakati Wakuu wa Wilaya na Mikoa wakiweka watu mahabusu tena mpaka Wabunge mbona hakusema kitu.... Au that time alikuwa hajajua kuongea....!!?
 
Kwake huyo pimbi wanaotakiwa kuwekwa mahabusu ni wapinzani, Kina Lema, Sugu, Mbowe, Msigwa nk. Hii nchi ingekuwa na utawala wa sheria na haki za binaadamu hicho kipimbi siyo Cha kuwa spika wa bunge letu tukufu, kilitakiwa kiwe magereza, shame on him
 
Hivi Wabunge wa Tanzania wanaweza kupeleka mswada binafsi wa kutunga sheria kama tunavyoona huko USA. Nauliza hilo kwa kuwa sijawahi kusikia kitu kama hicho Bongo... Kila Siku sheria zote zinaletwa na serikali tu....!!
 
Jinga kabisa huyu spika yeye ndiye msimamizi wa kutunga sheria kwanini asitunge hiyo sheria ya kukomesha uonevu huo, badala yake anabwabwaja anataka sisi tufanyeje? miguu ya kenge
 
Spika wa Bunge la Tanzania amesema Polisi wanakamata Watu hovyo wengine wenye heshima zao na wanajulikana wanakoishi lakini wanarundikwa tu Rumande bila ulazima wowote.

Ndugai amesema "inatakiwa tujifunze kwa Nchi za wengine ambapo Mtu huwa anaitwa kituoni na kufanyiwa mahojiano kisha kuruhusiwa kurudi nyumbani kwasababu anafahamika na hawezi kukimbia. Huku ukishakuwa Askari tunaona kuweka Watu ndani ni raha".

Ameongeza "Hiki kitu binafsi kinaniuma sana. Mtu anawekwa ndani wiki nzima au mwezi halafu baadae anakuja anaachiwa wakati shughuli zake nyingi zimeshasimama. Sheria nazo hata ukitoka huwezi kudai chochote, Waafrika hatuthaminiani".
Mbona haongelei kuhusu wanao wekwa ndani kwa kesi za kubandikiwa uhujumu uchumi?
 
Spika wa Bunge la Tanzania amesema Polisi wanakamata Watu hovyo wengine wenye heshima zao na wanajulikana wanakoishi lakini wanarundikwa tu Rumande bila ulazima wowote.

Ndugai amesema "inatakiwa tujifunze kwa Nchi za wengine ambapo Mtu huwa anaitwa kituoni na kufanyiwa mahojiano kisha kuruhusiwa kurudi nyumbani kwasababu anafahamika na hawezi kukimbia. Huku ukishakuwa Askari tunaona kuweka Watu ndani ni raha".

Ameongeza "Hiki kitu binafsi kinaniuma sana. Mtu anawekwa ndani wiki nzima au mwezi halafu baadae anakuja anaachiwa wakati shughuli zake nyingi zimeshasimama. Sheria nazo hata ukitoka huwezi kudai chochote, Waafrika hatuthaminiani".
Leo Ndugai amevuta cha wapi?
 
Back
Top Bottom