bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
huyu jamaa siku hizi kama simwelewi yupo upande upi, inaonesha wakati anakabidhiwa usipka hakupata shule ya kutosha kabisa kutoka kwa bi mkubwa Makinda.
mfano angalia hapo chini kauli 2 tofauti za JOB
Ndugai 1: Bunge tunakupongeza Rais Samia kutuletea mkopo Trillion 1.3, hii ni boost kubwa katika Maendeleo Ndugai
2: Juzi Mama amekopa tr 1.3 kwanini tusichangishane tozo tuachane na madeni makubwa haya yasiyoeleweka?
sasa unakaa unajiuliza , kwanini amekuwa anapinga kila zuri linalofanywa wakati huohuo aliyaunga mkono hapo nyuma? nataka kumfananisha na kibwetele kabisa yupo kama ndumila kuwili mbele yupo na kwa mparange ndo kwake.
huku kwetu Machame -nkwanamboo watu wenye tabia kama za bwn Job wengi tuliwahamisha vijiji na waliokaidi tuliwaondoa.