Spika Ndugai: Katiba na sheria hazina jinsia

Spika Ndugai: Katiba na sheria hazina jinsia

mr mkiki

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
5,588
Reaction score
11,668
Nina maswali machache sana.

Kwanini Tulia Ackson alilidanganya Bunge na umma wa Watanzania kuwa ofisi ya Bunge haijapokea barua ya kuwafukuza Uanachama Wabunge wa Covid-19 wakati kiuhalisia waliipokea barua tangu Novemba?

Ndugai anaongelea natural justice: Alimfuta Lissu ubunge, alimpa natural justice ya kumsikiliza kwanza?

Nasema hakuna jinsia kwenye sheria na katiba.
 
Wabunge wa covid 19 ni akina nan
Kuna Tofauti ni Ipi kati ya Wanawake (Walikuwa Wabunge Viti Maalum wa CUF) na Hao Wanawake 19 waliofukuzwa na Chadema?

Yani 2021 ndio ameanza kuzifahamu haki za Wanawake
 
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lissu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Tuna bunge la Ndugai linaloundwa kwa mujibu wa Katiba ya Ndugai. Tunakosa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloundwa kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania inayoeleza vizuri kwenye Ibara ya 62 na 66.

Hayo mengine sema wewe
 
Katika hii vita lazima katiba itaibuka mashindi tu
 
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lissu kwenye kura za kamati kuu!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura?
"usinichezee, Mimi nina faili MILEMBE"
 
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lissu kwenye kura za kamati kuu!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura?
Umeyaelewa maelezo ya nyalandu wajumbe 30 waliopiga kura Lisu kapata kura 24 na nyalandu kamugalagaza Lissu. Kwakauli hii inaitaji uwe kichaa ili uweze kumuelewa. Binafis nilikua ninadhani nyalandu yupo smart ila kwa kauli hiz nimemuona mjinga.
 
Taasisi nyingi sana Tanzania zinaongozwa na watu wasio na uwezo. Mwendazake alishaliona hili mapema ndio maana alimpandikiza naibu mapemaa akitegemea andunje Ni mwendazake mtarajiwe baada ya kumuona siku alivyorudi.
 
Lissu alibembelezwa sana na Spika alete hata ripoti ya ugonjwa akawa anajibu jeuri.
Tena Ndugai kamvumilia sana. Ndugai kafafanua ziletwe hata taarifa za maandishi lakini bado akajitia ujuaji wa kisheria. Na kumbuka wito huu aliutoa kwa muda mrefu sana na siyo kipindi cha siku za mwanzo wakati Hali ya Lissu ni critical.
 
Taasisi nyingi sana Tanzania zinaongozwa na watu wasio na uwezo. Mwendazake alishaliona hili mapema ndio maana alimpandikiza naibu mapemaa akitegemea andunje Ni mwendazake mtarajiwe baada ya kumuona siku alivyorudi.
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom