Tuna bunge la Ndugai linaloundwa kwa mujibu wa Katiba ya Ndugai. Tunakosa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloundwa kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania inayoeleza vizuri kwenye Ibara ya 62 na 66.Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lissu kwenye kura za kamati kuu.!
Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Umeyaelewa maelezo ya nyalandu wajumbe 30 waliopiga kura Lisu kapata kura 24 na nyalandu kamugalagaza Lissu. Kwakauli hii inaitaji uwe kichaa ili uweze kumuelewa. Binafis nilikua ninadhani nyalandu yupo smart ila kwa kauli hiz nimemuona mjinga.Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lissu kwenye kura za kamati kuu!
Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura?
Sahihi kabisaTaasisi nyingi sana Tanzania zinaongozwa na watu wasio na uwezo. Mwendazake alishaliona hili mapema ndio maana alimpandikiza naibu mapemaa akitegemea andunje Ni mwendazake mtarajiwe baada ya kumuona siku alivyorudi.