MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Kwanza ieleweke kwa mtoa post ndugai sio sipika alikua sipika usipika kautoa wapi tens msimu huyu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani asiye wa CCM huwa anasikiliza hayo maneno toka kwa huyo msemaji? Mimi hata kuangalia huwa siangalii maana vyombo vyote vya Habari ni kujipendekeza na kuunga mkono juhudi wahusika kutegemea uteuzi. Wanahabari wengi walitia nia ya kugombea Ubunge lakini wote wametupiliwa mbali Chama kina wenyewe wanaojua namna ya kununua ushindi. Hata wa TBCCM wametupiliwa mbali!Unaongelea kwa mfumo wa swali jambo lilulokwisha kuchukuliwa maamuzi kwenye kikao?
Umesikua kabisa....'msijipendekeze'.... 'mjipendekeze kujenga Chato nikiwa nimeacha uraisi'....'hizo fedha mlizotaka kujenga ofisi ya Takukuru chato kajengeni ofisi ya Takukuru Kongwa'.....
Inamaana maneno hayo wewe mleta mada haukuyasikia?
Iweje uje na swali la kizushi namna hii?