Unaongelea kwa mfumo wa swali jambo lilulokwisha kuchukuliwa maamuzi kwenye kikao?
Umesikua kabisa....'msijipendekeze'.... 'mjipendekeze kujenga Chato nikiwa nimeacha uraisi'....'hizo fedha mlizotaka kujenga ofisi ya Takukuru chato kajengeni ofisi ya Takukuru Kongwa'.....
Inamaana maneno hayo wewe mleta mada haukuyasikia?
Iweje uje na swali la kizushi namna hii?