Spika Ndugai kuna mradi au tenda amenyimwa ndiyo maana anamkosoa Rais Samia

Spika Ndugai kuna mradi au tenda amenyimwa ndiyo maana anamkosoa Rais Samia

Niwe mkweli kabisaa Spika wetu wa bunge kwasasa hana ubavu wala nguvu za kisiasa kutokana na kuwa na sura mbili baada ya kulifanya bunge likawa sehemu ya kupiga makofi na kumshangilia mwendazake.

Hata hii mikopo anayoilalamikia alikopa yeye na bunge lake kimya kimya na hakuweza kuhoji kutokana na aliyekuwepo kumwogopa. Sasa anajidai ana uwezo wa kumtunishia misuli Mh Rais Samia ili kumtisha.

Kwa jinsi ninavyojua na nilivyo na uhakika, wabunge hawapo na wewe Ndugai ukijisahau tu atatokea mmoja na kuleta IMPEACHMENT MOTION utaondoka kabla jogoo hajawika. Usijidanganye hata Wabunge wa CCM wana kinyongo na wewkwa jinsi ulivyowaburuza bungeni na ukalinyima bunge meno yake kisa kujikomba kwa mwendazake.

Katika historia ya bunge la Tanzania hajawahi kutokea spika mbovu na hovyo kama Ndugai; alishusha heshima na hadhi ya bunge sana hakuna kilichohojiwa hata hii mikopo hakutuambia au anataka kutuambia ndio anajua hii aliyokopa mama na kuiweka hadharaNdu

Ndugai sio tu ni spika mbovu ni spika wa Hovyo sana kwa bunge letu
Mafi kweli huyu ZuZu yaani anaithaminisha hii nchi kubwa hivi na mali zote kwa hivyo vitirion,wakati tukizidiwa tunauza kongwa tu kwa hiyo pesa na ZuZu tunawapa bure waondoke nae
 
Mafi kweli huyu ZuZu yaani anaithaminisha hii nchi kubwa hivi na mali zote kwa hivyo vitirion,wakati tukizidiwa tunauza kongwa tu kwa hiyo pesa na ZuZu tunawapa bure waondoke nae
Ndugai anafikiri hizi bukubuku alizoweka kutukomoa zitajenga miradi wakati anajikusanyia pesa ya matibabu hakumbuki ametumia zaidi ya billion kukaa India hizo ndio pesa zetu tunakatwa ili atibiwe na kukaa nje ya nchi
 
Back
Top Bottom