Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

Kwa hiyo Mbowe ndiyo anasababisha taarifa za hizo kamati kusomwa mkutano wa 4 badala ya wa 5, na siyo ratiba ya Bunge?

Halafu hizo kamati zina wataalamu kiasi gani kuwazidi wale wa ofisi ya ukaguzi? Lakini hizo kamati ndiyo zitajibu hoja za CAG na siyo taasisi husika zilizotuhumiwa, na mwisho kwa mabadiliko haya ya Ndugai haoni kuwa hizo taarifa za kamati zitakuwa hazina uhalisia zaidi ya kujibu hoja za kumbagaza CAG kama alivyoanza yeye, bunge likiitwa dhaifu tusisikie kutisha watu pingu na maazimio ya kutofanya kazi na CAG maana ndiyo kawaida yake
 
Mataga lazima mtagishwe
 
mangi hizo ni audit queries na opinions sio final conclussion.
Audit (au evaluation yoyote for that matter) inapofanyika, uongozi husika hupewa nafasi ya kujibu those key findings na majibu yao huwa ni sehemu ya final report.

Unachokisoma kwenye report ya CAG kimeinclude explanations kutoka kwenye institutions husika. Kwa lugha rahisi ambayo hata layman ataelewa - hiyo ni final report. Rais huwa hawepi half-baked report yenye opinions eti ije kujibiwa baadae.
 
Nakuunga mkono
 
Tuliwaambia kwamba Mbowe ndiye anayetoa Dira ya nchi , nadhani sasa mmeanza kuelewa
 
RIPOTI IPO WAZI INAJITOSHELEZA WATU WENGI WANA UFAHAMU WA KUSOMA,KUIELEWA NA SIYO MPK HIZO KAMATI NDO ZITUTAFSIRIE.....KWANI IMETUMIKA LUGHA YA KIISPANIOLA????.......TUMESHAJUA TUMEPIGWA MCHANA KWEUPE
Wanataka kulazimisha legacy
 
Ni mhasibu tu ndiye atakaekuelewa ulicho andika.
 
Ukisikia na kuona uhorojokaji wa kiwango hiki, hapo ujue tu kuna mtu lile kabati la baridi kule Lugalo linamwita kwa mbali.

Au nakosea ndugu zangu? Maana tumepata uzoefu by now!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…