Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

Ndugai yuko sahihi

Ndugai hana usahihi wowote ni Ufisadi tu kama mafisadi wenzie!! Mkewe hapo Bahi amepoteza fedha chungu nziima, UMMY huna haja ya kuogopa mchukulie hatua huyu mama.

Ni matusi makubwa kwa wananchi kutuambia kuwa Mbowe anatudanganya , kwani sisi hatujui kusoma report ya CAG?
 
Hivi ni Mbowe au Zitto aliyechambua hoja za CAG?
 
hivi ZZK huyu mbona huwa wanaomwogopa sana? af all the things aliezungumza mambo mazito ni Zzk ila speaker kakomaa na Mbowe..nahisi watu kama kina ZZK na kina Mbat100 waliwekwa kuwa wapinzani feki
 
Ndugai akapambane na maandamano ya bodaboda aliosema wachapwe viboko
Hilo halikwepeki baada ya kumsema vibaya Jpm kuhusu bandari ya Bagamoyo
Wana Ccm tuungane tumngoe huyu
 
Namuunga mkono ile kauli ya asad
 
hivi ZZK huyu mbona huwa wanaomwogopa sana? af all the things aliezungumza mambo mazito ni Zzk ila speaker kakomaa na Mbowe..nahisi watu kama kina ZZK na kina Mbat100 waliwekwa kuwa wapinzani feki
Utaendelea kuwaza bila ya majibu sahihi ila Zitto anajulikana kitambo
 
Aliyeweka pich ya kwamba watu wa ulaya wanawivu au wanataka kutuua ndio aliyetuharibu wa africa tunalia kila siku wazungu mabeberu na huku tunategemea wao kuanzia kwenye mikopo, technolojia , madawa pamoja na policy zote na huku sisi wenyewe ndio tunaokula pesa za nchi yetu..waafrica tunatakiwa kuangalia ni wapi tuna kosea na kujirekebisha
 
Ndugai yuko sahihi
Yuko sahihi kwa lipi?
Kwamba kwenye mradi wa milioni 200 matumizi yenye viambanisho yakawa milioni 199 na milioni 1 okaloosa viambatanisho ,bado CAG atasema kuna upotevu wa milioni 200?
 

Ndugai kanunuliwa na WACHINA lazima achunguzwe!! Kwavile yeye kanunuliwa anafikiri kila mtu ni corrupt kama yeye!! Hawa wagogo ni watu wa kuomba omba sio watafutaji hivyo huwaoneo donge wenzao wanaotafuta!!
 
mangi hizo ni audit queries na opinions sio final conclussion.
Mkuu mimi ni auditor na nilishawahi kushiriki audit za CAG. Audit queries huwa zinakuwa communicated kwa wahusika kabla ya final audit report haijatoka ili kama wana majibu ziweze kuondolewa. Audit queries zikikosa majibu ndio hapo audit report inakuwa finalised na kupewa mhusika. Kwa hiyo kile kilichomo kwenye audit report hakina queries zozote bali ni final audit report (final findings). So, please acha kupotosha.
 
Ndugai ajue kuwa Hayati anamuangalia huko aliko kwa jinsi alivyomsaliti mapema .... Kumtupia hilo zigo Mbowe haitamsadia. Actually, yeye ndiye aliyelianzisha kwa kudai kuwa Rais alishauriwa vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…