Mbona Kigwangalla ameachwa wakati yeye ametajwa kabisa kwenye ripoti ya CAG?Queries zinatoa majibu ya kweli amesimamishawa ili kupisha uchunguzi. Utaratibu wa audit upo hivyo lazima mkaguzi auibue hoja kisha majibu.
Huo uwezo anautoa wapi yule Ni takataka tuHivi Ndugai hawezi kujenga hoja zake (vihoja) bila kuwataja watu?
Nyau tangu lini akawika kama jogoo. Subwoofer tulia wanaume waongee.Spika wa Bunge Job Ndugai, amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya CAG na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne, kwa kuwa inapotoshwa huku akimtaja Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuwa mmoja wapo
Spika wa Bunge Job Ndugai amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya Mdhibiti na Mkuguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne badala ya mkutano wa tano, kwa kuwa inapotoshwa.
Akizungumza leo Jumatatu Aprili 12 2021, Ndugai huku akimtaja Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amedai kuwepo upotoshaji wa ripoti hiyo.
Kauli ya Spika imekuja siku moja baada ya Mbowe kuhutubia kupitia mitandao ya jamii, ambapo pamoja na mambo mengine alilituhumu Bunge kwa vitendo vya rushwa.
“Watu wanabeba tu mabilioni yameibiwa sasa huyo rafiki yangu Freeman Mbowe alikuwa Ulaya huko sasa katumwa na watu wake huko anapotosha mambo,” amesema.
Amesema sio watu wengi wenye uelewa wa kuchambua taarifa za kihasibu na hivyo kunaweza kukawa na ujenzi wa kituo cha afya wa Sh 500milioni lakini Sh 499milioni zimetumika vizuri kabisa.
Hata hivyo, amesema lakini kati ya fedha hizo Sh1milioni ikikosa kiambatanisho fulani ni kawaida wakaguzi wanahoji fungu zima la Sh 500milioni.
Amesema kwa hiyo unaposoma mtaani unaona sh 500 zimeibwa lakini kumbe pale ni Sh milioni moja ndio hazina risiti.
Amesema kamati hizo zitaanza mapema kuchambua ripoti hizo ili waangalie ratiba yao na kuwaelimisha watu kuhusiana na ripoti ya CAG ambayo ni taarifa nzuri lakini baadhi ya watu wanabeba na kupotosha tu.
Mwananchi
Hawezi,ni poyoyo na anchoweza ni miaasho na taarab.Alikuwa kama kiatu cha Jiwe kila mahala alimfuata na kumsifia Mara kashamgeuka.Ukitaka kufahamu upoyoyo wa hawa watu,subiri hiyo ripoti itakavyochakachuliwa na hizo kamati.Hivi Ndugai hawezi kujenga hoja zake (vihoja) bila kuwataja watu?
Ahaaa, sasa hilo si ungemuuliza Damas?Mbona Kigwangalla ameachwa wakati yeye ametajwa kabisa kwenye ripoti ya CAG?
Huyo Damas ndio kaleta huu uzi?Ahaaa, sasa hilo si ungemuuliza Damas?
Waambie Mkuu....mi huwa naangalia michango ya wengi humu wasojua chochote kuhusu ukaguzi nacheka tu.mangi hizo ni audit queries na opinions sio final conclussion.
Wewe utakuwa demu tu.Umataga haukupendezei hata.
Damas si ndio kamsimamisha huyu dada.Huyo Damas ndio kaleta huu uzi?
Kwa uonevu kwakuwa sio mwanasiasa mwenzake, ila kamfumbia macho mwanasiasa mwenzake. Katika mazingira hayo kuna querries zozote au utapeli?Damas si ndio kamsimamisha huyu dada.
Huyu jamaa asipomtaja Mbowe huwa hawezi kuishi? Ni dhambi kubwa tutakayoijutia kwa vizazi vingi vijavyo kuwa na mtawala mwenye mawazo mgando dizain hiiSpika wa Bunge Job Ndugai, amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya CAG na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne, kwa kuwa inapotoshwa huku akimtaja Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuwa mmoja wapo
Spika wa Bunge Job Ndugai amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya Mdhibiti na Mkuguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne badala ya mkutano wa tano, kwa kuwa inapotoshwa.
Akizungumza leo Jumatatu Aprili 12 2021, Ndugai huku akimtaja Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amedai kuwepo upotoshaji wa ripoti hiyo.
Kauli ya Spika imekuja siku moja baada ya Mbowe kuhutubia kupitia mitandao ya jamii, ambapo pamoja na mambo mengine alilituhumu Bunge kwa vitendo vya rushwa.
“Watu wanabeba tu mabilioni yameibiwa sasa huyo rafiki yangu Freeman Mbowe alikuwa Ulaya huko sasa katumwa na watu wake huko anapotosha mambo,” amesema.
Amesema sio watu wengi wenye uelewa wa kuchambua taarifa za kihasibu na hivyo kunaweza kukawa na ujenzi wa kituo cha afya wa Sh 500milioni lakini Sh 499milioni zimetumika vizuri kabisa.
Hata hivyo, amesema lakini kati ya fedha hizo Sh1milioni ikikosa kiambatanisho fulani ni kawaida wakaguzi wanahoji fungu zima la Sh 500milioni.
Amesema kwa hiyo unaposoma mtaani unaona sh 500 zimeibwa lakini kumbe pale ni Sh milioni moja ndio hazina risiti.
Amesema kamati hizo zitaanza mapema kuchambua ripoti hizo ili waangalie ratiba yao na kuwaelimisha watu kuhusiana na ripoti ya CAG ambayo ni taarifa nzuri lakini baadhi ya watu wanabeba na kupotosha tu.
Mwananchi
Huo uwezo wa kujenga hoja anautoa wapi.Hivi Ndugai hawezi kujenga hoja zake (vihoja) bila kuwataja watu?
Acha kudharau Wanawake. Unajua hii Uongozi wa juu ni Nani.?Wewe utakuwa demu tu.
Hata kuhusu bandari ya Bagamoyo, atakua sahihi tu, labda hata kusema ndege ni hasara, Yupo sawa!Ndugai yuko sahihi
Afadhali Polepole anapost video za kucheza mdumange na kupika makande!Ukisikia yowe ujue imepiga panyewe, hapa ndio ninapomkubali Mbowe huwa anapiga panyewe..
Ila kwa kweli Tanzania imepatikana spika wa bunge hana tofauti na Polepole wa Lumumba.
Halafu na rais ndio alikua tapeli na mwizi.. Asante Mungu kutupumguzia hizi ghasia.