Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

Mbowe hana pa kuchomokea kati ya vitu vinavyomtoa "credit" za kuwa mwenyekiti ni sakata la hawa wabunge walioingia bungeni bila mchakato halali bali maslahi ya watu wachache leo wanaenda mwaka wa 5 wanapata mshahara na posho hata kiinua mgongo watapata kwa kodi za wananchi ilhali hawastahili.

Je viambatanisho vilipelekwa hata baada ya Ndugai kutolewa uspika[ japo huyu nae ni mshiriki mkubwa wa hawa wabunge wasio halali kuingia hungeni maaana yeye ndio aliwaapisha]
 
Back
Top Bottom