Leo nimemsikia Spika akiongea kuwa humo mjengoni hakuna siyejua shida wanazopitia wabunge wa viti maalum wa Chadema.
Imekuwa siri ya wazi na iliyokubalika kwa jamii kuwa ukitaka viti maalum Chadema, lazima Mwenyekiti na kambi yake waridhishwe na wewe.
Ila leo ndo mara ya kwanza kumsikia mkuu wa mhimili husika, kuashiria kujua hivyo viti maalum vinagawiwa kwa vigezo gani, ambavyo ni kinyume na katiba.
Swali langu kwa Spika;
Je, anaona ni sahihi kwa kiti chake kufumbia macho hilo swala?
Kama mzazi mwenye watoto wa kike na kiongozi mkuu wa huo mhimili, amechukuwa hatua gani kuwalinda hao akina dada na wadada wajao dhidi ya ukatili huo?