Spika Ndugai na wabunge Wanawake (Viti Maalum)

Spika Ndugai na wabunge Wanawake (Viti Maalum)

Kama ni mambo ya kugegedana hakuna chama wasichokulana,tujadili mambo serious, kwani hao wanaoliwa si wamekubali wenyewe.
Au mnataka mliwe ninyi??
 
Unamuamini ndugai Sasa hv anatapatapa amfurahishe jiwe ili apewe usipika Tena na anakua dawa ya jiwe ni kuwaponda cdm kwan unafikiri yeye hausomi mchezo,
Hili jiwe lao limetuhalibia Sana nchi yetu,siasa umebadilika na kuwa uhasama na uadui mkubwa kuliko awamu yoyote tangu tupate Uhuru. R.I.P Ben Saanane
 
Huyu spika akue na aache kujenga hoja za kitoto na kuziabudu siasa za majitaka! Athibitishe pasi na shaka hoja zake za kipunguani na kiuendawazimu kuwa analolisema anaweza kulitolea ushahidi mahakamani! Asijifiche bungeni kuwa hawezi kushtakiwa kwa uongo anaousema ndani ya bunge kwani mahakamani zikitulia zaweza kukubali ashtakiwe kwani hoja yake Haina muunganiko wa malalamiko kutoka kwa wabunge anaowasemea. Ashtakiwe na wabunge anaowadhalilisha kuwa walipata nafasi zao kwa rushwa ya ngono! Asichekewe huyu atazoea!
 
hivi Upendo Peneza yuko wapi?
Alikuwa mnene na wowowo mtoto umbo namba nane kwa uzuri sasa hivi toka achaguliwe ubunge kakongoroka hadi anatia huruma.AFADHALI asingepata hivyo viti maalumu

akina mama wengi viti maalumu chadema waliingia warembo wamependeza lakini sasa wengi wamekongoroka akiwemo Joyce Mukya

Chadema SI MAHALI SALAMA kwa wabunge viti maalumu kuna mdudu anawakoroa mkali kuliko corona,Ukiziona picha zao kabla kuingia viti maalumu na sasa utawahurumia

Ndugai yuko sahihi
 
A
Leo nimemsikia Spika akiongea kuwa humo mjengoni hakuna siyejua shida wanazopitia wabunge wa viti maalum wa Chadema.

Imekuwa siri ya wazi na iliyokubalika kwa jamii kuwa ukitaka viti maalum Chadema, lazima Mwenyekiti na kambi yake waridhishwe na wewe.

Ila leo ndo mara ya kwanza kumsikia mkuu wa mhimili husika, kuashiria kujua hivyo viti maalum vinagawiwa kwa vigezo gani, ambavyo ni kinyume na katiba.

Swali langu kwa Spika;
Je, anaona ni sahihi kwa kiti chake kufumbia macho hilo swala?

Kama mzazi mwenye watoto wa kike na kiongozi mkuu wa huo mhimili, amechukuwa hatua gani kuwalinda hao akina dada na wadada wajao dhidi ya ukatili huo?
Angesema wa CCM ningejua jamaa yuko serious na kuwatetea wanawake wa viti maalumu. Maana huko ndo kuna watu wamegeuza vitalu vya uwindaji.
 
Alikuwa mnene na wowowo mtoto umbo namba nane kwa uzuri sasa hivi toka achaguliwe ubunge kakongoroka hadi anatia huruma.AFADHALI asingepata hivyo viti maalumu

akina mama wengi viti maalumu chadema waliingia warembo wamependeza lakini sasa wengi wamekongoroka akiwemo Joyce Mukya

Chadema SI MAHALI SALAMA kwa wabunge viti maalumu kuna mdudu anawakoroa mkali kuliko corona,Ukiziona picha zao kabla kuingia viti maalumu na sasa utawahurumia

Ndugai yuko sahihi
Amekosa ya kuongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili linatukumbusha audio clip ya Wema Sepetu ya 'Fly to KIA'.
 
Leo nimemsikia Spika akiongea kuwa humo mjengoni hakuna siyejua shida wanazopitia wabunge wa viti maalum wa Chadema.

Imekuwa siri ya wazi na iliyokubalika kwa jamii kuwa ukitaka viti maalum Chadema, lazima Mwenyekiti na kambi yake waridhishwe na wewe.

Ila leo ndo mara ya kwanza kumsikia mkuu wa mhimili husika, kuashiria kujua hivyo viti maalum vinagawiwa kwa vigezo gani, ambavyo ni kinyume na katiba.

Swali langu kwa Spika;
Je, anaona ni sahihi kwa kiti chake kufumbia macho hilo swala?

Kama mzazi mwenye watoto wa kike na kiongozi mkuu wa huo mhimili, amechukuwa hatua gani kuwalinda hao akina dada na wadada wajao dhidi ya ukatili huo?
Acheni uongo,siku zoooote hamkuweza kuyasema hayo, eti leo ndio mnamsingizia mbunge mwenzenu hayo.Hakika apandacho mtu atavuna hichohicho.Na wewe yanakufuata
 
Unamuamini ndugai Sasa hv anatapatapa amfurahishe jiwe ili apewe usipika Tena na anakua dawa ya jiwe ni kuwaponda cdm kwan unafikiri yeye hausomi mchezo,
Ndugai alishasoma mchezo,ni kusifu na kuabudu tu bila kusahau kuponda cdm ili malaika asimtupe awamu ijayo
 
Huyu ndugai nafikiri anazeeka vibaya sana. Make yeye ni spika lakini anafanya kazi kama katibu mwenezi wa kamati kuu ya CCM,yaani mpaka humuelewi. Anamuongelea Mbowe utafikiri kama kamchukulia demu wake. Mwanaume uliye kamili humuongelei mwanaume mwenzio namna Ndugai anavomwongelea Mbowe. Aache opropaganda za kijinga, afanye kazi aliyotumwa na wanaKongwa. Ukienda Kongwa maskini sana, yaani ukifika makao makuu ya wilaya haina tofauti na kijijini kwetu.
 
Back
Top Bottom