Spika Ndugai na wabunge Wanawake (Viti Maalum)

Bila shaka watajitokeza watakao thibitisha maneno ya Spika.

Amandla...
 
..basi hayo yatakuwa ni mapenzi.

..na siyo udhalilishaji wala jinai kama wanavyosema.
Hakuna mapenzi wanalazimika kudhalilishwa kulinda ubunge wao

Sent from jamii forums
 
Zamu hii kaingia kwenye 18 za Job!

Chadema itabaki na Mbowe, Mdee na Heche tu!

..wamuwekee mtego kama wa Dr.Slaa.

..au wamdukue kama walivyomfanyia Mzee Makamba.

..ila wakati mwingine ukimuandama sana mtu unaweza kusababisha jamii ikaanza kumuonea huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…