Haijawahi tokea spika mbovu kama miaka hii mitano iliyopita. Mbona akina Mbiwe hawajauliza zike 27B za matibabu India? Au masharti ilikuwa ili asamehewe lazima awashambulie sana CHADEMA. Anazingua sana huyu mzee.
Unamuamini ndugai Sasa hv anatapatapa amfurahishe jiwe ili apewe usipika Tena na anakua dawa ya jiwe ni kuwaponda cdm kwan unafikiri yeye hausomi mchezo,