Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Bila hiyana kabisa uwe upinzani, uwe CCM au usiyekua na Chama hebu sema toka moyoni mwako, Spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania ana msaada gani katika taifa hili? Amefanya kipi ambacho mtu unaweza kusema ni Unique na cha pekee kulivusha taifa hili?

Katika kipindi chake chote tumeona tumeona tumia tumia ya ya wapinzani bungeni, kuwavua wabunge nyadhifa zao bila kufuata kanuni, kuongozwa na jazba,Wivu, maneno makali yaliyojaa vitisho kwa baadhi ya watu wanaomkosoa kwa matendo yake. Bunge lenyewe siyo live ni kama vile lipo gizani wananchi hawajui kama linaendelea.
Mpaka sasa kwenye bunge la Ndungai kuna wabunge 19 wasiokua na chama cha siasa kinyume kabisa na na sheria na katiba ya nchi wanatafuna pesa za walipa kodi bila sababu na anawatetea, huu ni spika wa aina gani? Ana manufaa gani katika taifa?

Tumeona katika bunge la Marehemu Samwel Sitta na Mama Anne Makinda mabunge yao litawaliwa na demokrasia,busara na hekima, ushirikiano mkubwa baina ya wabunge wa chama tawala na upinzani, walikua na maneno ya kistaarabu yaliyojaa utu.
Wakati wa maspika hawa mianya mingi ya Rushwa na ufisadi viliibuliwa kama vile IPTL, RICHMOND na ESCROW. Bunge lilikua live,Tuliona wabunge walivyoismamia na kuiwajibisha serikali katika kipindi hicho na ndiyo maana kulikua na reflection kubwa ya ukuaji wa uchumi na maisha halisi ya watu. Hii ndiyo Uniqueness yao kubwa katika kipindi chako na kwa namna moja au nyingine walilitendea makuu taifa leo tofauti na huyu mzee wa vitisho.
 
Nakubaliana na wewe, lakini huwezi kumlalamikia Ndugai, halafu ukaridhika na waliomuweka hapo alipo kwa sababu zao wazijuazo wenyewe, huku wakijua ni mtu asiye sifa za uongozi.

Wabunge (wa kuteuliwa), si walipiga kura?

Chama, CCM hakikuwa na mkono wake katika uteuzi wa huyu zuzu?

Kwa hiyo, tukiwa tunamlalamikia mhusika, tusisahau kwamba yupo hapo/kawekwa hapo kwa sababu maalum, vinginevyo asingeweza kuwa hapo alipo.

Tuanpotafuta tatizo lilipo ili tuondoe hilo tatizo, haisaidii chochote kujifanya tatizo ni nani kaliweka hapo.
Ndugai amefika hapo na yupo hapo kwa sababu alikidhi vigezo vya waliomuweka hapo. Yeye kama yeye Hana uwezo wa kuwa hapo alipo.
 
Yawezekana CCM ya enzi za kina Sitta na Makinda ilikua imara na ahueni kidogo kuliko hii iliyoundwa na Mwendazake
 
Tafuta kitabu au filamu ANIMAL FARM (Shamba la wanyama) kama kilivyotafsiriwa na Mwalimu Julius K. Nyerere humo utapata majibu yote kuanzia nia ya kudai Uhuru mpaka tulipofikia hivi sasa tukiwa hoi.
 
John Heche (@HecheJohn) Tweeted:
Wale wapiga makofi bungeni na kumshamgilia Ndugai. Njoo mjifunze Jenerali Ulimwengu ni nani.
Kabla ya kutoka vijijini kwenu yeye alikua anaiwakilisha nchi yetu huko Duniani, kabla hajafikiria Ubunge wa kupora ambao hamkushinda yeye tayari alikua Mbunge maarufu. Tuheshimu watu. https://t.co/KRpvOcB4Sk
 
Ndugai ni hasara kubwa kwa Taifa.

Ameliharibu bunge limekuwa kituko
 
Ndugu gay hana msaada wowote. Nafikiri anatumikia tumbo lake na waliomuweka hapo na baada ya hapo anasubiri Mola amtwae!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…