Havizya
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 499
- 702
Zombi weweKwani wewe una msaada gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zombi weweKwani wewe una msaada gani
Kwani anatakiwa kutoa msaada gan?
Wewe utanzania wako NI UPI. Mama yako alimdanganya Baba yako kuwa mimba yake,kumbe alibakwa na Mkongo.Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Ohooooo !!!Hahaha
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
"Yesu na mkewe walienda Jerusalem..." Ndugai 12:3.Huo muhimili udharauliwe mara ngapi? wakati Wananchi wameshaupuuza.
"Nimekosa mimi nimekosa sana"Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Ulimi upo so loose.....
hivi bunge lina heshima kweliAmetoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa Bunge. Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo, ila anasema watapambana naye ndani na nje.
----+
Akizungumza katikati ya mjadala wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.
"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike naye ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" Spika Ndugai
“Huyu mzee hivi karibuni amekuwa akiropoka ropoka sana...” - Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, akitoa onyo aliloliita la mwisho kwa mwanahabari nguli Jenerali Ulimwengu na kumtaka kuacha tabia ya kukashfu watu na kuzivunjia heshima taasisi mbalimbali na kulidharau Bunge.
Pia soma: Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu
View attachment 2007798