Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Zuzu Matonya ana manufaa kwa kikundi chake kilichomuweka hapo alipo. Kwa wananchi na taifa ni furushi la viazi vilivyooza.
 
Lilizima kuongelea bandari ya bagamoyo hadi jamaa kazima ndio eti anajitokeza tena, mie sielewi mtu mzima unajambo muhimu kwa taifa unamwogopa mtu kishikilia msimamo wako na kufafanua, mwenyewe sijui anajionjaje? Mtu mzima....!
 
Jenerali akasema,"Spika kwa nini ananisema nama hii? Basi nimeamua,sitaki awe spika kuanzia sasa."
 
Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa Bunge. Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo, ila anasema watapambana naye ndani na nje.

----+

Akizungumza katikati ya mjadala wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.

"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike naye ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" Spika Ndugai

“Huyu mzee hivi karibuni amekuwa akiropoka ropoka sana...” - Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, akitoa onyo aliloliita la mwisho kwa mwanahabari nguli Jenerali Ulimwengu na kumtaka kuacha tabia ya kukashfu watu na kuzivunjia heshima taasisi mbalimbali na kulidharau Bunge.

Pia soma: Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu
View attachment 2007798
hivi bunge lina heshima kweli
Kwa nani
 
Back
Top Bottom