Spika Ndugai ni mzigo kisiasa, CCM wasikubali kuubeba mzigo huu, amesababisha migogoro mingi sana, hana mvuto tena

Spika Ndugai ni mzigo kisiasa, CCM wasikubali kuubeba mzigo huu, amesababisha migogoro mingi sana, hana mvuto tena

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Sasa ni wazi kabisa kwamba Ndugai ni mzigo kisiasa kwa CCM, amekuwa akiichafua CCM na viongozi wake Kila mara.

Ametumia vijana wake akina Humphrey lakini wakachemka, wengine akina Mangula na Bashiru wanaichafua CCM kichinichini.

Wanaunda kundi la warundi wa Geita wanawaita sukuma gang wakiwa na nia ovu na taifa hili ili kiu yao ya madaraka itimie
 
Yaani sisi warundi(watanganyika) wa Tabora wa mwaka 1954, uwa hatuangaiki na kauli za kishamba shamba kama hizi.
 
Ulipotaja jina la Mzee Mangula ndio nikajua uliandika ukiwa chakali kabisa na ukipata fahamu baada ya uchakali kuisha utaomba ifutwe
 
Back
Top Bottom