Spika Ndugai: Nimechaguliwa na watu 400,000 kuwa mbunge kwa miaka 25, mara mbili nimepita bila kupingwa, unaniita ZUZU?

Kupita bila kupingwa ni wizi,ni udhaifu,ni kuchezea akili za watu,huu msamiati umefika mwisho baada ya muasisi wake kufa,2025 hakuna mambo hizo kama ni mwanaume asimame mwenyewe 2025 bila kubebwa kama atapenya.
 
Amechokoza atajuta yete anajiona soeaker bora kuwahi kutokea yaani zuzu wa karne huko komgwa wajitafalari aseee ukute nao vichaa na mazuzu watupu....uĺe ugonjwa umepanda kichwani....sasa
 
Na bado waliokaribu nae badala ya kufunga kamba wawahishe pale jirani wanamwacha tuu.ngoja siku ataingia na panga ndio watajua dishi linashida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sifau au aibu kupita bila kupingwa?
 
Hilo Dongo kapigwa Prot Assad

Mwanzo aliwaita Wabunge dhaifu, hivi karibuni alipotakiwa kufanya adjustment ya jina hilo akaiwaita Mazuzu kwa kufanya marekebisho ya sheria kuongeza watu wengine ambao hawatoshtakiwa kwa makosa wayafanyayo wakiwa Madarakani
 
Mtu unajisikia kuchaguliwa na wajinga laki nne
 
Ajitafakari sana kuna mahali amekosea kupita bila kupingwa ni uzuzu.
 
Kweli kila zama na kitabu chake. Leo hii Ndugai anapiga yowe bila kuchukua hatua zidi ya Assad,ingekuwa kipindi cha Kayafa sasa hivi Assad angekuwa mikononi mwa Polisi kwa amri ya Ndugai. Haya ni maneno ya Ndugai.

"Kuna Mzee anatukosea sana Wabunge,anatuita mazuzu,nina miaka 25 pale Kongwa na vipindi viwili nimepita bila kupingwa,na hata kesho nikienda nitapita bila kupingwa,kwanini uniite zuzu? Wananchi wa Kongwa ni mazuzu wamechagua zuzu mwenzao?"

Credit: Dar Mpya.
 
Leo imenicjekesha Sana Bwashehe!!
Lakini amesema amechaguliwa na mazuzu 400000 Kwa miaka 25 tena mara 2 Hakuna zuzu aliyejitokeza kupambana naye. Wilaya ya mazuzu.
Hahahaaaa... Zamani ukiona mbunge anapita bila kupingwa ujue ni Mchawi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…