Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeandika kwa code myambukaInawezekana katika mazuzu 400,000 wewe ndio una nafuu ndio maana wamekuchagua uwe mwakilishi wao!
HIV katika hao Laiki Nne yule uliyempiga Fimbo ya kichwa yumo?!
Mkuu mshale21, asante kwa hii, na bahati nzuri niko hapa Dodoma na hii niliisikia kwa masikio yangu mwenyewe.
P.

Kuna wengine ma-diasporas kidogo baadhi ya maneno ya kiswahili yanakuwa shida.umesababisha nicheke sana....yaana umepekua mpaka kwenye dictionary....
Mku kwa hiyo sasa siyo kama miaka 1994 - 2000 . Lakini mambo yanabadilika kuendana na nyakati.Mkuu metro wanasumbua machinga wanaopita sema mitaa mingi walio kwenye vizimba wale hata hawasumbuliwi ila kuzunguka kwa kuuza matunda utasumbuliwa na metro tena wakichukua mzigo fine yake kubwa kule faraday..
Mzee Ulimwengu ni hazina ya Wananchi wote wanahitaji kuwa huru.Hawa wote Assad , Jenerali Ulimwengu pamoja na Ndugai wote akili zao ziko sawa, sijui niwaite kama aliyekuwa msemaji wa wekundu wa Msimbazi alivyowaita waandishi wa habari?
SawaSpika wa Bunge, Job Ndugai amesema anakerwa na tabia ya baadhi ya watu kuwaita wabunge mazuzu na kuwataka wajenge utamaduni wa kuheshimiana.
Akifungua wiki ya AZAKI jijini Dodoma Jumamosi Oktoba 23, Ndugai amesema, “Sio unaitwa Azaki basi unawasema wenzako maneno unayotaka ya hovyo. Tumewahi kugombana na baadhi ya wazee, mzee unatuita jina sisi hatulipendi…Hivi tumekosea wapi kama unamuita mtu jina la Juma anasema mimi jina hilo silitaki.
“Tatizo lako nini? Unang’anga’ania kuita hilo jina, we ni nani? Haiwezekani kama mwanadamu akikwambia hiki sina raha nacho kiache na wewe hukiachi, kama kweli wewe ni muungwana mtu wa Mungu utakiacha.”
Amesema matokeo ya kutoheshimiana ni wazee (ambao hakuwataja) wanawasema wabunge ni mazuzu wakati wana akili.
Amesema wao hawana muda wa kubishana bishana na watu wana namna hiyo.
Amesema yeye amechaguliwa na watu 400,000 kuwa mbunge kwa miaka 25 katika chaguzi mbalimbali na tena mara mbili amepita bila kupingwa.
“Hata kesho nikienda kusimama (kugombea) tafuta wa kusimama na mimi hutampata. Akisimama ni mpambe wa kusindikiza. Halafu wewe unaniita zuzu yaani wale watu una maanisha ni mazuzu wamechagua zuzu mwenzao?”amehoji.
Ndugai alipongeza Azaki kwa kazi nzuri wanazofanya lakini akasema wachache wao wamekuwa wakitumika na wana ajenda zisizokuwa za kwao na kwamba Azaki chache zimekuwa na ajenda za kupata fedha kutoka mahali fulani (hakukutaja).
“Sasa kama we njaa yako ni hela ndio maana lazima zitungwe sheria sasa zinazokufuata kwenye hela. Eeeeh utatuambia nani amekupa, kiasi gani, ziko wapi, utazitumiaje na utaleta taarifa kwa kila shilingi zamani haikuwa hivyo tuliaminiana lakini baada ya kuona mwenendo usio ridhisha ndio tukatunga sheria,”amesema.
Ndugai amesema kama wasipoweka sera ya kuambiana na kurekebishana (wao kwa wao mashirika) basi hata sheria zitakazotungwa siku za usoni zitakuwa kali zaidi.
Akikujibu nitag unajua mzee wetu P anachekesha Sana ukiisoma akili yake Ni km yupo kwenye mtanziko...Ndugu Pascal we kama mchambuzi wa hotuba za viongozi tunaomba utoe maoni yako juu ya kauli hii na si kushukuru mleta uzi maana lengo lake ni kuijadili. Au bado una hofu ya kuitwa tena mjengoni.
Azaki ndo niniSpika wa Bunge, Job Ndugai amesema anakerwa na tabia ya baadhi ya watu kuwaita wabunge mazuzu na kuwataka wajenge utamaduni wa kuheshimiana.
Akifungua wiki ya AZAKI jijini Dodoma Jumamosi Oktoba 23, Ndugai amesema, “Sio unaitwa Azaki basi unawasema wenzako maneno unayotaka ya hovyo. Tumewahi kugombana na baadhi ya wazee, mzee unatuita jina sisi hatulipendi…Hivi tumekosea wapi kama unamuita mtu jina la Juma anasema mimi jina hilo silitaki.
“Tatizo lako nini? Unang’anga’ania kuita hilo jina, we ni nani? Haiwezekani kama mwanadamu akikwambia hiki sina raha nacho kiache na wewe hukiachi, kama kweli wewe ni muungwana mtu wa Mungu utakiacha.”
Amesema matokeo ya kutoheshimiana ni wazee (ambao hakuwataja) wanawasema wabunge ni mazuzu wakati wana akili.
Amesema wao hawana muda wa kubishana bishana na watu wana namna hiyo.
Amesema yeye amechaguliwa na watu 400,000 kuwa mbunge kwa miaka 25 katika chaguzi mbalimbali na tena mara mbili amepita bila kupingwa.
“Hata kesho nikienda kusimama (kugombea) tafuta wa kusimama na mimi hutampata. Akisimama ni mpambe wa kusindikiza. Halafu wewe unaniita zuzu yaani wale watu una maanisha ni mazuzu wamechagua zuzu mwenzao?”amehoji.
Ndugai alipongeza Azaki kwa kazi nzuri wanazofanya lakini akasema wachache wao wamekuwa wakitumika na wana ajenda zisizokuwa za kwao na kwamba Azaki chache zimekuwa na ajenda za kupata fedha kutoka mahali fulani (hakukutaja).
“Sasa kama we njaa yako ni hela ndio maana lazima zitungwe sheria sasa zinazokufuata kwenye hela. Eeeeh utatuambia nani amekupa, kiasi gani, ziko wapi, utazitumiaje na utaleta taarifa kwa kila shilingi zamani haikuwa hivyo tuliaminiana lakini baada ya kuona mwenendo usio ridhisha ndio tukatunga sheria,”amesema.
Ndugai amesema kama wasipoweka sera ya kuambiana na kurekebishana (wao kwa wao mashirika) basi hata sheria zitakazotungwa siku za usoni zitakuwa kali zaidi.
Kwanza inapasa itukubalishe kama hawo wapiga kura 400000 walipiga klura kwa ridha zao au ndio iliutmika nguvu na uchakachuwaji wa kura.Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema anakerwa na tabia ya baadhi ya watu kuwaita wabunge mazuzu na kuwataka wajenge utamaduni wa kuheshimiana.
Akifungua wiki ya AZAKI jijini Dodoma Jumamosi Oktoba 23, Ndugai amesema, “Sio unaitwa Azaki basi unawasema wenzako maneno unayotaka ya hovyo. Tumewahi kugombana na baadhi ya wazee, mzee unatuita jina sisi hatulipendi…Hivi tumekosea wapi kama unamuita mtu jina la Juma anasema mimi jina hilo silitaki.
“Tatizo lako nini? Unang’anga’ania kuita hilo jina, we ni nani? Haiwezekani kama mwanadamu akikwambia hiki sina raha nacho kiache na wewe hukiachi, kama kweli wewe ni muungwana mtu wa Mungu utakiacha.”
Amesema matokeo ya kutoheshimiana ni wazee (ambao hakuwataja) wanawasema wabunge ni mazuzu wakati wana akili.
Amesema wao hawana muda wa kubishana bishana na watu wana namna hiyo.
Amesema yeye amechaguliwa na watu 400,000 kuwa mbunge kwa miaka 25 katika chaguzi mbalimbali na tena mara mbili amepita bila kupingwa.
“Hata kesho nikienda kusimama (kugombea) tafuta wa kusimama na mimi hutampata. Akisimama ni mpambe wa kusindikiza. Halafu wewe unaniita zuzu yaani wale watu una maanisha ni mazuzu wamechagua zuzu mwenzao?”amehoji.
Ndugai alipongeza Azaki kwa kazi nzuri wanazofanya lakini akasema wachache wao wamekuwa wakitumika na wana ajenda zisizokuwa za kwao na kwamba Azaki chache zimekuwa na ajenda za kupata fedha kutoka mahali fulani (hakukutaja).
“Sasa kama we njaa yako ni hela ndio maana lazima zitungwe sheria sasa zinazokufuata kwenye hela. Eeeeh utatuambia nani amekupa, kiasi gani, ziko wapi, utazitumiaje na utaleta taarifa kwa kila shilingi zamani haikuwa hivyo tuliaminiana lakini baada ya kuona mwenendo usio ridhisha ndio tukatunga sheria,”amesema.
Ndugai amesema kama wasipoweka sera ya kuambiana na kurekebishana (wao kwa wao mashirika) basi hata sheria zitakazotungwa siku za usoni zitakuwa kali zaidi.
Yule aliyemtandika bakora nusra amtoe roho hamkumbuki?“Hata kesho nikienda kusimama (kugombea) tafuta wa kusimama na mimi hutampata. Akisimama ni mpambe wa kusindikiza. Halafu wewe unaniita zuzu yaani wale watu una maanisha ni mazuzu wamechagua zuzu mwenzao?”amehoji.
Tena ni zuzu wa mazuzuNi zuzu tu, hakuna jina jingine limfaalo
Na ndiyo bifu lake na Professor Assad lilipoanzia. Huyu kibushuti alitumia makumi ya mabilioni ya kodi zetu kiboya sana.Aseme yote, ila zile gharama za matibabu yake zilikuwa ni kubwa sana, kiasi cha kuishtua hata ofisi ya CAG. Pengine suala la " imbecile" linaweza kuamzia hapo.
Alisema Professor Assad, 60% ya watendaji wa serikali (akiwemo huyo zuzu ndugai) walikuwa hawana sifa za kuwa kwenye nafasi hizo wanazoshikilia, kwa hiyo kama taifa tuna hasara kwa asilimia 60Yule aliyemtandika bakora nusra amtoe roho hamkumbuki?
ZUZU ni zuzu tu, hata hajui anachokisema. Kura 400,000 alizipata lini huyu kilaza.
'Phase' hii ya hawa viongozi mazuzu, imeibadili sana Tanzania ionekane kuwa ni nchi ya hovyo hovyo sana. Chukulia tokea mwaka alioingia huyu zuzu Bungene, hapo ndipo tulipoanza kuwa na viongozi wasiokuwa na sifa za kuwa viongozi.