Spika Ndugai: Nimechaguliwa na watu 400,000 kuwa mbunge kwa miaka 25, mara mbili nimepita bila kupingwa, unaniita ZUZU?

si alikua anwapa pombe wagogo wenzie
 
ufafanuzi
 
Mazuzu wamechagua Zuzu mwenzao hii si story tena kwani nani asiyejuwa kuwa Ndugai ni Zuzu?
 
Watu bana, hivi washampa jina Zuzu, aisee so vizuri hivyo watanzania - kupita bila kupingwa si jambo geni katika siasa za nchi yetu, sasa utashindana na nani jimboni kwako wakati wengine hata kujaza form za uteuzi tu hawawezi, hata kutembea bila kutekwa wakati wanarudisha form za uteuzi hawawezi, kuwahi ofisi za tume kabla hazijafungwa ili kurejesha form za uteuzi kwa wakati nalo ni gumu kwao, sasa tufanyeje eee teh teh teh - hebu lioneni hilo nalo kwa jicho la tatu.
 
Kwa hiyo hizi chafuzi zinazoongozwa na tume ya fisiemu ndo ndugai anajivunia kushinda? bwahahaha........kweli hawajakosea kumwita zwazwa......
 
ukweli unaumaga
 
Unakaa madarakani miaka 25 na bado unajivunia na unasimama kifua mbele...Hakika huo ni udikteta na tamaa za madaraka...
Miaka 10 inatosha waachie na wengine,lazima kupokezana vijiti.
 
Labda nimpe elimu Ndugai kwamba "Jamii inayoumwa huchagua kiongozi anayeumwa."
Na pili hata PhD holder anaweza kuwa zuzu/zezetu maradufu kuliko asiyekwenda shule.
Na tatu uongozi sio dhamana kwamba mtu hawezi kuwa zuzu/zezeta.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Umechaguliwa na ombaomba wa huko kwenu dodoma unajiona umechaguliwa na watu wenye akili?...sehemu watu wanaojielewa,walioelimika hùpati hta uenyekiti wa mtaa
 
Ndugai ni zuzu hilo halina ubishi,kupita bila kupingwa kunakosimamiwa na polisi ni uzuzu huo kwani unachaguliwa na polisi wala siyo wananchi.
 
Mwanaume timamu huwezi ukasifia kupita bila kupingwa huu ni udhaifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…