Nilisoma na Ndugai na Bana UDSM, wote wakiwa wametuzidi umri. Ni kati ya watu waliokuwa wakidharauliwa sana kutokana na uwezo mdogo kimasomo, huku wakijifanya wajuaji.Jamaa shuleni hakuwa mvivu ni kipanga, na huko chuo alikuwa mwanafunzi bora
Hili zuzu na zwazwa kweliAkimpongeza mbunge wa Mtera mh Lusinde kwa uchambuzi mzuri wa hotuba ya Waziri Mkuu uliotumia dakika 15 Spika Ndugai amesema Kibajaj anawazidi wasomi wengi mle bungeni.
Spika amesema bungeni yanahitajika maarifa huo uprofesa ni kwa ajili ya kufundisha na kufanya tafiti hivyo katika siasa uprofesa hauna maana yoyote.
Ndio maana wabunge watatu wamewaponda maprofesa tukianza na Kishimba, Kibajaji na kuna wakati Dr Ndugulile aliwahi kumuita waziri fulani Profesa Ziro nikamtoa nje haa haaa amecheka Ndugai.
Ndugai amewataka maprofesa kuwa makini wanapohutubia bungeni kwani darasa la 7 akina Kibajaji, Msukuma Tabasamu, Jah people, Kiinanasi, Babu Tale nk nk wako makini kweli.
Chanzo: TBC
My take; Mbona wabunge wa darasa la 7 ni wanaume watupu!
Niliwahi kusikia ni mwana wanyamaporiMwenye CV ya
Spika Ndugai tafadhali.
HeheheheHow do HIV/AIDS affect the nervous system?
HIV does not directly invade nerve cells (neurons) but puts their function at risk by infecting cells called glia that support and protect neurons. HIV also triggers inflammation that may damage the brain and spinal cord (central nervous system) and cause symptoms such as:
Damage to the peripheral nerves can cause progressive weakness and loss of sensation in the arms and legs. Research has shown that HIV infection can cause shrinking of brain structures involved in learning and information processing.
- confusion and forgetfulness
- inability to concentrate
- behavioral changes
- headaches
- mood disorders (anxiety disorder and depression)
- movement problems (loss of movement control) including a lack of coordination and difficulty walking.
Other nervous system complications that can occur as a result of HIV infection or the drugs used to treat it include:
These symptoms may be mild in the early stages of AIDS but can become increasingly severe.
- pain
- seizures
- strokes
- shingles
- difficulty swallowing
- fever
- vision loss
- coma, and
- problems with bladder control or sexual function.
In children, the disease can cause:
- developmental delays
- loss of previously achieved milestones
- brain lesions
- nerve pain
- smaller than normal skull size
- slow growth
- eye problems, and
- recurring infections.
sana sana Prof. MuhongoHapo anapondwa prf Assad.
Na Kweli kutunga Sheria na Kuchambua Miswada mbalimbali Darasa la Saba mpaka la Pili wanatoshaAkimpongeza mbunge wa Mtera mh Lusinde kwa uchambuzi mzuri wa hotuba ya Waziri Mkuu uliotumia dakika 15 Spika Ndugai amesema Kibajaj anawazidi wasomi wengi mle bungeni.
Spika amesema bungeni yanahitajika maarifa huo uprofesa ni kwa ajili ya kufundisha na kufanya tafiti hivyo katika siasa uprofesa hauna maana yoyote.
Ndio maana wabunge watatu wamewaponda maprofesa tukianza na Kishimba, Kibajaji na kuna wakati Dr Ndugulile aliwahi kumuita waziri fulani Profesa Ziro nikamtoa nje haa haaa amecheka Ndugai.
Ndugai amewataka maprofesa kuwa makini wanapohutubia bungeni kwani darasa la 7 akina Kibajaji, Msukuma Tabasamu, Jah people, Kiinanasi, Babu Tale nk nk wako makini kweli.
Chanzo: TBC
My take; Mbona wabunge wa darasa la 7 ni wanaume watupu!
Tumia googleMwenye CV ya
Spika Ndugai tafadhali.
Maprofesa wa Tanzania ni hovyo kabisa jamii ya LipumbaAkimpongeza mbunge wa Mtera mh Lusinde kwa uchambuzi mzuri wa hotuba ya Waziri Mkuu uliotumia dakika 15 Spika Ndugai amesema Kibajaj anawazidi wasomi wengi mle bungeni.
Spika amesema bungeni yanahitajika maarifa huo uprofesa ni kwa ajili ya kufundisha na kufanya tafiti hivyo katika siasa uprofesa hauna maana yoyote.
Ndio maana wabunge watatu wamewaponda maprofesa tukianza na Kishimba, Kibajaji na kuna wakati Dr Ndugulile aliwahi kumuita waziri fulani Profesa Ziro nikamtoa nje haa haaa amecheka Ndugai.
Ndugai amewataka maprofesa kuwa makini wanapohutubia bungeni kwani darasa la 7 akina Kibajaji, Msukuma Tabasamu, Jah people, Kiinanasi, Babu Tale nk nk wako makini kweli.
Chanzo: TBC
My take; Mbona wabunge wa darasa la 7 ni wanaume watupu!
Naunga mkono hoja ya Spika kuhusu hawa wabunge wa Darasa la 7.Akimpongeza mbunge wa Mtera mh Lusinde kwa uchambuzi mzuri wa hotuba ya Waziri Mkuu uliotumia dakika 15 Spika Ndugai amesema Kibajaj anawazidi wasomi wengi mle bungeni.
Spika amesema bungeni yanahitajika maarifa huo uprofesa ni kwa ajili ya kufundisha na kufanya tafiti hivyo katika siasa uprofesa hauna maana yoyote.
Ndio maana wabunge watatu wamewaponda maprofesa tukianza na Kishimba, Kibajaji na kuna wakati Dr Ndugulile aliwahi kumuita waziri fulani Profesa Ziro nikamtoa nje haa haaa amecheka Ndugai.
Ndugai amewataka maprofesa kuwa makini wanapohutubia bungeni kwani darasa la 7 akina Kibajaji, Msukuma Tabasamu, Jah people, Kiinanasi, Babu Tale nk nk wako makini kweli.
Chanzo: TBC
My take; Mbona wabunge wa darasa la 7 ni wanaume watupu!
Ni kweli kabisa siasa ndiyo kila kitu. wanachoama hao jamaa hata kiwe cha kijinga kina impact kwako, mwanao, mjukuu wako na kizazi kijasho. hapa ndopo tatizo lilipoTatizo hasara tunapata wote, kwa maamuzi yao ya hovyo yatatufanya tuishi kama walivyoamua.
Professor kweli LAKINI hajawahi kufanya kazi nje ya kufundisha vijana wetu vyuoni.Lofa kabisa huyu, kwa vile yeye hana huo uprofesa
Mbona wote wamefanya hivyo? Mfano, Prof Muhongo alikuwa Mkuu wa taasisi moja ya kimataifa ya Geology kwa miaka 5 nje ya nchi. Prof Assad alikaa kwenye taasisi nyingine ya kimataifa kwa muda huko nje. Jielimishe na CV zao. Ukweli ni kwamba hata kuandika yanayozungumzwa Bungeni wanafanya wasomi na wanashauriwa na wenye PhD mara kwa mara. Ukitaka kuonyesha ujinga duniani, waachie hiyo kazi hao vibajaji, Musukuma na Kishimba (watoa digrii ya miezi 8).Professor kweli LAKINI hajawahi kufanya kazi nje ya kufundisha vijana wetu vyuoni.
Ingependeza kama wangechukua likizo wakafanya kazi kwenye taasisi za fani zao hasa za binafsi kwa miaka kama 2 hadi 5 harafu wakirudi vyuoni wataleta impact.