johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Spika Ndugai amesema wakuu wa mikoa na wilaya wana tabia ya kujifanya wao ni marais wa mikoa au wilaya, tabia ambayo siyo nzuri na haipendezi.
Ndugai amesema Rais wa nchi hii ni mmoja tu mh Samia Suluhu Hassan wakuu wa mikoa na wilaya wazingatie hilo.