Spika Ndugai: Rais ni mmoja tu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya acheni kujitutumua

Nimeipenda sana hii message ya Ndugai leo.. Kuna kama yule Chalamila anajionaga Rais wa Dunia kuwa tu RC ni tatizo sana yule, very narrow minded idiot kabisa yule. Alafu kuna Happy wajichunge sana.
Siyo vizuri kuwananga kwa maneno makali wana ccm wenzako! Huu siyo utaratibu wa chama hata kidogo.
 
Spika Ndugai amesema wakuu wa mikoa na wilaya wana tabia ya kujifanya wao ni marais wa mikoa au wilaya, tabia ambayo siyo nzuri na haipendezi.

Ndugai amesema Rais wa nchi hii ni mmoja tu mh Samia Suluhu Hassan wakuu wa mikoa na wilaya wazingatie hilo.

Source: Channel ten
Yeye (Ndugai) ndiye amekuwa kiranja mkuu au kachanganyikiwa? Hapaswi kukemea watu wasiokuwa chini ya ya mhimili wake.
 
Spika Ndugai amesema wakuu wa mikoa na wilaya wana tabia ya kujifanya wao ni marais wa mikoa au wilaya, tabia ambayo siyo nzuri na haipendezi.

Ndugai amesema Rais wa nchi hii ni mmoja tu mh Samia Suluhu Hassan wakuu wa mikoa na wilaya wazingatie hilo.

Source: Channel ten
Mkuu huu ni unafiki wa hali ya juu. Mbona hakuyasema hayo enzi za mwendazake. Na yeye anavyo vunja katiba ya nchi na kuona Tanzania ni yeye tu mwenye mamlaka.
 
Bwashee kila zama na kitabu chake!
 
Spika Ndugai amesema wakuu wa mikoa na wilaya wana tabia ya kujifanya wao ni marais wa mikoa au wilaya, tabia ambayo siyo nzuri na haipendezi.

Ndugai amesema Rais wa nchi hii ni mmoja tu mh Samia Suluhu Hassan wakuu wa mikoa na wilaya wazingatie hilo.
Basi angenukuu hata kasheria kauongo na ukweli aonekane anajua vifungu badala ya kuropoka kama mgonjwa wa akili
 
Bwasheee msaidien huyo acje vua nguo mbele ya kadamnasi bure

Back
Top Bottom