johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa mara ya kwanza ameongea jambo la msingi sana mkuu wa mkoa anatembea barabara nzima na kuhatarisha maisha ya watu wakati Naibu Spika anatembea vizuri tuu.Nimeipenda sana hii message ya Ndugai leo.. Kuna kama yule Chalamila anajionaga Rais wa Dunia kuwa tu RC ni tatizo sana yule, very narrow minded idiot kabisa yule. Alafu kuna Happy wajichunge sana.
Ndugai kaongea ukweli mtupu!Nimeipenda sana hii message ya Ndugai leo.. Kuna kama yule Chalamila anajionaga Rais wa Dunia kuwa tu RC ni tatizo sana yule, very narrow minded idiot kabisa yule. Alafu kuna Happy wajichunge sana.
Ndugai ni takataka kuliko hata hao wakuu wa mikoa
Inaweza kukuondoa wewe!Corona hebu tufanyie maajabu mengine tena!!
Hovyo kabisa
Tarehe za kwenda clinic India zimepitiliza,sababu kuna corona kule
Spika Ndugai amesema wakuu wa mikoa na wilaya wana tabia ya kujifanya wao ni marais wa mikoa au wilaya, tabia ambayo siyo nzuri na haipendezi.
Ndugai amesema Rais wa nchi hii ni mmoja tu mh Samia Suluhu Hassan wakuu wa mikoa na wilaya wazingatie hilo.
Source: Channel ten
Sisi tusiotenda mabaya tuna kinga kubwa sana ya mwenyezi Mungu - imeandikwa Mwenye HAKI ana kinga ya Muumba..Inaweza kukuondoa wewe!
Spika wa bunge ni mmoja tu bwashee!Na wao wanatumia nafasi zao kama yeye anavyotumia nafasi yake kujitutumua.
Spika Ndugai amesema wakuu wa mikoa na wilaya wana tabia ya kujifanya wao ni marais wa mikoa au wilaya, tabia ambayo siyo nzuri na haipendezi.
Ndugai amesema Rais wa nchi hii ni mmoja tu mh Samia Suluhu Hassan wakuu wa mikoa na wilaya wazingatie hilo.
Source: Channel ten
Ndugai ni takataka kuliko hata hao wakuu wa mikoa
Msalimie CPA Ruge!