johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Watatoka wapi keyboard zao zimepigwa ganziWakaza shingo hapa jukwaani siwaoni!
JJ Mnyika atajiunga na CCM hivi karibuni.Kwa kweli maendeleo hayana vyama, ila ufipa wamenuna sana, wanataka kupasuka kwa hasira. Ila naamini kwenye hili hawajakurupuku, pamoja na kuwa inawezekana kulikuwa na ukinzani wa hoja isingekuwa vizuri Mnyika kama KM kuibuka na kukana hadharani, kwa kufanya vile anazidi kuiangamiza chadema kuliko kujenga. Alitakiwa akae kmy, km hakukubaliana na maamuzi ya wengi angeachia ngazi. Mnyika aachie ngazi, usizidi kuoboa chadema. Mshikamano wa kitaifa niuhimu kuliko maslahi binafsi.
Wameshachelewa!Naishauri CDM ipeleke majina mengine tofauti na hao akina Mdee!
Leo tutamsikiliza Halima Mdee akihojiwa na Zuhra Yunus!Mida ya BBC swahili kukata matangazo unawadhia?
Ni matakwa ya katiba bwashee!Leo ninyi ndo wa kushabikia kuapishwa wabunge wa chadema??? Kuna nn mnachokifahamu wasichokijua wengine?
Hata shingo za kukaza tunazo tena? πππππWakaza shingo hapa jukwaani siwaoni!
bado dakika kadhaa mbeleLeo tutamsikiliza Halima Mdee akihojiwa na Zuhra Yunus!
Naunga mkono hojaNaishauri CDM ipeleke majina mengine tofauti na hao akina Mdee!
Hahahaaaa....... kwisha habari yenu!Naunga mkono hoja
Unashangilia wewe zuzu utadhani umeteuliwaHahahaaaa....... kwisha habari yenu!