Spika Ndugai: Siyo lazima mbunge kuapa ndani ya Bunge lililo muhimu ni Mbunge kuapa mbele ya Spika!

Spika Ndugai: Siyo lazima mbunge kuapa ndani ya Bunge lililo muhimu ni Mbunge kuapa mbele ya Spika!

Kilichotokea ni sawa na watoro waliokuwa wametoroka wakarudi alafu ndo wanaapa mbele ya mwalimu mkuu lakini adhabu baadae iko pale pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mchezo umechezwa kwaakili kubwa sana. Hata Mbowe anajua mchezo mzima. Ila pia nimeona ni vyema maana hata wakisusa hakuna jipya
Pia Chadema itatumia hao hao wabunge kuleta angalau upinzani kidogo Bungeni na kuifanya CCM ifunguke akili kidogo
Ilikuwa lazima iwe hivyo kwa gharama zozote kuokoa bageti
 
Back
Top Bottom