Spika Ndugai: TAMISEMI inaniudhi sana; kwanini inapora Madaraka ya Halmashauri?

Halmashauri hapafai ata kidogo ni Rushwa juu ya Rushwa
 
Kwa nini hajalalamika pale mamlaka ya bunge yanapoporwa?
 
ajira zilishakuwa kitega uchumi kwa njia ya EMS iliyowekwa na serikali yetu mwendo wa kubet ajira
 
Mkuki mtamu kwa nguruwe,kwa binadamu.......vipi yeye anavyotuudhi mamilioni ya watanzania?
Kwa kweli hata mimi Spika huyu ananiudhi sana. Ametunyima haki yetu watu tz zaidi ya milion 45 yeye analalamikia shule moja ya kwake.
 
Huyu nae si mmoja wao. si awaambie kama alivyozea? Au nao wamemtambua bado malaria ya India inaanza tena?
 
Nadhani suala hapa siyo Tamisemi kuwapangia vituo vya kazi bali inatakiwa wapangiwe kulingana na uhitaji wa kituo husika. Tamisemi kama wanapanga wao basi wapange kulingana na taarifa iliyotoka kwenye halmashauri husika juu ya uhitaji wa kila kituo cha kazi. Endapo upangaji huo umefata uhitaji wa vituo husika sioni tatizo ila kama hawajafata hilo hapo ndipo wapaangalie
 
Huyo afunge domo lake kama anataka kuendelea kuwa mbunge 2020 maana uspika hatumpi tena . Kama anafikiri utani aendelee kukosoa aone tutakamvyomnyang'anya grisi.
 
ndo mfumo wa kibepari kujikusanyia madaraka bila kujali madhara yake
 
shida halmashauri ikipewa madaraka inapanga kwa rushwa... za ngono na hela
Halimashauri zetu ni janga mkuu na kikwazo kikubwa cha maendeleo yetu,hata sijui kwa nini serikali haizishughukii ipasavyo na zinaendelea in a business as usual manner huku serikali ikiangalia.Halimashauri zina matatizo makubwa ya matumizi ya fedha,ajira na uwajibikaji.Nafikiri kuna haja ya ku-develop mechanism ya kupima output ya halimashauri zetu,ili kama hazi perform tu phase out mfumo wa halimashauri au tuwe na marshall plan ya kuziboresha.Tukizichekea halimashauri tutakula mabua.As far as I am concerned kwa sasa halimashauri zetu ni liability.
 
Dawa ni kukomesha rushwa,kama inakomeshwa kwa kukwepesha sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…