Spika Ndugai: Tusimuachie Mama (Rais Samia) peke yake

watu wengi sana hivi sasa wanahisi kuna baadhi ya viongozi ktk baraza la mawaziri au ktk idara mbalimbali za Serikali ni kama vile uchapa kazi wao umezorota sana inaweza ikawa kwa maksudi au wanazuga tu......
wananchi tunawaona, wanayo nafasi ya kubadilika ama kupisha wazalendo wengine wasukume jahazi.
 
Ni muda tu.....

Waendelee tu kumchezea AMIRI JESHI......

MUDA UTAONGEA

#SiempreSSH
#KaziIendelee
 
kuna baadhi ya mawaziri na manaibu waziri viwango vyao vya utendaji haviridhishi kabisaa
 
kuna baadhi ya mawaziri na manaibu waziri viwango vyao vya utendaji haviridhishi kabisaa
Mambo ya kipuuzi yanayofanywa na wateule ndiyo yanayomfanya mkuu awe kituko mbele ya jamii.
 
Suala hapa sio chanjo.
suala hapa ni upotoshaji wa maksudi ulio fanywa na Askofu Gwajima.
mbaya zaidi anenda mbali zaidi kudiriki kutoa tuhuma kali dhidi ya viongozi kuwa wamehongwa!!!
Gwajima alifika mbali sana!!
huko sio kujiamini bali ni upuuzi!!
Kuna masuala mengine aliyoongea Gwajima (MCHUNGAJI) ni ya kitalaamu japo yeye si mtalaam wa afya. Nilitegemea wizara ya afya kupitia viongozi wake wakuu kutoa ufafanuzi wa kitalaam ili kuonyesha kwamba kweli Gwajima (MCHUNGAJI) anapotosha jamii ya watanzania. Lakini cha ajabu waziri wa afya mapepe (DOROTH GWAJIMA) anakurupuka na kutoa agizo la kukamatwa kwa Gwajima (MCHUNGAJI) huku wananchi wakibaki njia panda wasijue ukweli ni upi kuhusu ubora wa chanjo. Gwajima ana hoja za msingi sana kwa mstakabli wa afya za watanzania. Ni jukumu la serikali kuwaelimisha wananchi na kuwatoa hofu. HOJA ZA KITAALAM HUJIBIWA KITAALAM NA SIYO KIMABAVU.
 
hata mimi nilitamaana sana kusikia ushahidi wa kitaalamu kutoka kwa Askofu Gwajima pindi alipo itwa mbele ya Kamati lkn kinyume chake kumbe alikuwa analopoka bila kuwa utafiti.
nilikuwa namkubali sana Askofu lkn hapo kwakweli nilimpuuza kabisa. alipotoka kama walivyo binaadamu wengine.
 
Mbona huko hzo chanjo za J&J zinakotengenezwa (Marekeni) watu hawataki kudungwa kwa mashaka ya kwamba hazina ubora? Tena serikali yao inawaahidi kumpa kila atakaye chanja dola 100 lakini bado muitikio ni mdogo sana. Je sisi huku Tanganyika na Zanzibar ndio tunajua zaidi kuhusu hizi chanjo kuliko wananchi na wataalmu wa Marekani na ulaya? Nosense!

Kwa taarifa yako:
Japan amesitisha hzi chanjo.
Bill Gates ametilia shaka hzi chanjo pamoja na kwamba yeye ndiye anasemwa kwamba yupo nyuma ya hzi chanjo


Sisi huku tuna wataalamu wa chanjo kuliko Japan au Marekani kwenyewe? TUSIKARIRI MAISHA.
 

Wewe na Jumbe Brown hamjakwenda kuomba ajira ili myatendee haki mavuvuzela yenu?
 
Wewe na Jumbe Brown hamjakwenda kuomba ajira ili myatendee haki mavuvuzela yenu?
sinahaja na wala sifanyi kwa ajili nilipwe chochote, ninao wajibu na jukumu la kuitetea nchi yangu bila ujira wowote ule. raha yangu na furaha ni kuona nchi yangu inasonga mbele kimaendeleo na inadumu kuwa nchi yenye amani na utulivu.
 
sinahaja na wala sifanyi kwa ajili nilipwe chochote, ninao wajibu na jukumu la kuitetea nchi yangu bila ujira wowote ule. raha yangu na furaha ni kuona nchi yangu inasonga mbele kimaendeleo na inadumu kuwa nchi yenye amani na utulivu.
Hakika komredi 👍👋
 
Watendaji wote ktk serikali na idara mbalimbali Tufanye kazi kwa kutanguliza Uzalendo wa kuipenda nchi yetu kwanza.
 
Viongozi lazima tuelewe kuwa Ukiwa kiongozi sehemu yoyote ile lazima utalaumiwa tu.
Viongozi wetu wakuu pamoja na jitihada zao zote walizo zifanya kwa nchi hii lkn bado walilaumiwa.
1. Hayati J.K. Nyerere pamoja na jitihada zake za kuleta uhuru wa nchi hii lkn bado alilaumiwa.
2. Mzee Mwinyi pamoja na kufungua milango ya Ruksa lkn bado alilaumiwa.
3. Hayati Mkapa Pamoja na kuimarisha Uchumi wa nchi lkn bado alilaumiwa.
4. Mzee Kikwete Pamoja na Kukuza na kuimarisha Demokrasia lkn bado alilaumiwa.
5. Hayati Magufuli Pamoja na kuleta maendeleo na kupaisha uchumi lkn bado alilaumiwa
6. Rais Samia pamoja na mambo makubwa anayo yafanya ya kutengeneza uchumi wa nchi lkn bado atalaumiwa.

Ukiwa kiongozi huwezi kuzikwepa lawama wala hutakiwi kuogopa lawama, maaana ktk utendaji huwezi kumridhisha kila mtu.
 
Mimi ninamfagilia Wazili Mwambe.Huyu bwana anatumia taaluma yake vizuri na anajua.Wengine wako kisiasa na wanacheza ngoma yoyote inayopigwa
 
Jambo la msingi watutumikie kwa maarifa yao yote na nguvu zao zote, wasitegeee wala wasizuge maana sisi wananchi tunawaona.
 
Huyo waziri wa mambo ya ndani ndio hayupo kabsaa, Vitambulisho vya taifa mpaka leo ni mwaka 3 watu tunamiliki namba tu na hawajawahi kutoa ufafanuzi ni kwann hatupati vitambulisho, majina yalikosewa lkn hata kurekebisha kwenye mitambo yao haiwezekani eti mpaka usubiri kitamburisho kipatikane,ni ujinga mtupu unaoendelewa hapo NIDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…