zimmerman
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 1,644
- 3,176
Sawa, alikuwa hata mkuu wa wilaya, aliacha legacy gani akiwa mkuu wa wilaya? Mnamwita mwandishi wa habari nguli, uandishi wake wa habari umefanya nini kuitambulisha nchi ya Tanzania? ni kipi legacy ya Ulimwengu kwenye jamii ya Tanzania kwenye tasnia ya uandishi wa habari? Nini kizazi kipya cha Tanzania kitajifunza kwa Ulimwengu?Ameiwakilisha nchi katika/ameifanyia nchi mambo mengi ambayo ukiwa serious kuperuzi utayafahamu kwani inaonekana enzi yuko active serikalini haukuwa na ufahamu. View attachment 2008865
Last I checked hakuna cha kujifunza kwa Ulimwengu zaidi ya maandiko yake yaliyojikita kwenye nadharia ya ulalamishi kwa mtawala wa wakati.