Spika Ndugai usijilinganishe na Jenerali Ulimwengu

Soma vizuri... kutumia fursa vizuri ni pamoja na kuibia nchi???? Mtu mpaka ametumwa na nchi kwenda kuiwakilisha nje miaka kibao bado hutambui hiyo kama LEGACY??
Au LEGACY mpaka ujenge madaraja?
I
Kwanza Kujenga madaraja sio LEGACY.
 
Jenerali ulimwengu sio mtanzania , Mimi simkubali Bora kina lissu na mbowe wakosoe maana ni wenzetu, jenerali anatumika na kagame
Yaani we mafi unamlinganisha huyo bwanamifugo wako na jenerali ulimwengu?
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana, waache wapambane...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…