Spika Ndugai: Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA wapo kwenye mikono salama

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Job Ndugai amesema Wabunge waliofukuzwa Chadema wapo salama

Mheshimiwa Ndugai ameomba Wabunge hao 19 wasiwe na hofu yeyote na waendelee kuchapa kazi ili kuijenga nchi yao.

MCL
Yanii watu wanakosa hata akili na logic ya kawaida CCM wameharibu siasa za Tanzania, tuangalie katiba inasemaje kuhusu wanachama walio fukuzwa chamani.......... hapa ndo kipimo sahihi kuona msimamo wa Raisi wetu Mama kuhusu ujinga kama huu. unadhalirisha nchi nzima sio bunge peke
 
Tuna mifumo ya hovyo sana, Ndugai alitakiwa kushitakiwa kwa kosa la uhani kabisa
 
Tangu uhuru, bunge la tz halijawahi kupata spika wa hovyo kama andunje ndugai, wabunge wa cuf waliostahili kulindwa aliwafukuza, wabunge wa covid19 ambao hawastahili kulindwa ndo anawalinda, halafu likija kufa kuna mataahira yatapigania ligasi ya marehemu dikiteta ndugai.
 
Ataanza kuondoka Ndugai kwenye hicho kiti
 
Ndugai endelea kuaanyoosha hao mpaka akili iwakae sawa.
 
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura?
 
Ndiyo maana akajiwekea kinga ya kutoshitakiwa.
 
Nina hakika hapati usingizi kwa moyo wake kumsuta kwa unafiki!
 
Tulishazungumza kuhusu ndugu zetu β€œWAGOGO” kuwa huenda genetically kuna kipengele katika brain zao na namna ya kufikiri!
Mkuu, kumbuka Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, Dr John Samwel Malecela, Lusinde Kibajaji, wasanii na wanamuziki kama marehemu Patrick Balisidya na hata marehemu Dr/Prof. Hugo Zawose na wengine kibao wote walikua ni Wagogo. Je na hao pia wanaingia katika fungu hilohilo ulilosema?
 
Hii inawahusu wagogo wote waliotrend katika zama za Jiwe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tulishazungumza kuhusu ndugu zetu β€œWAGOGO” kuwa huenda genetically kuna kipengele katika brain zao na namna ya kufikiri!
Kwanini tusiandamane kama wananchi kushinikiza kuondolewa huu uhuni??
yaani mashabiki wa manchester wanatushinda wanaandamana kumtoa GLAZER ambaye ndiye mmiliki sisi tunamshindwa ndugai? malalamiko ya mtandaoni yanasaidia kweli?
 
Hopefully akikutana na Chadema mama atalitolea kauli ya kuwafukuza, to be specific.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…