Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Kaazi kwweli kweli ,ngoja tusubiri tuone aliondoka jiwe na sasahivi anaumbuka itakuwa huyo kimbunga jobo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanangu upo kwenye mikono salama!Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali....
Sawa ila wawakilishi toka kwenu ndio sample space yenuStereotypes za kujumuisha wagogo kama kabila zima zinakufanya uonekane fala fulani.
Ndugai ni spika dhaifu kuwahi kutokea nchini, hafai!Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali....
Daaaah usije kuifuta siku nyingine. Huyu mtu tumemsomea Albadir kama JiweDah nimefuta asubuhi
Mama amezidiwa akili na mfumo dume huu wa ki ndugai hatakaa apumue wala kutimiza ndoto zake kama ataendelea kufumbia macho watu wanao ikanyaga katiba ya nnchi.Halafu watu mnategemea mabadiriko kutoka kwa Mama
Ataipuuza mahakama na hakuna yeyote atakayesema fyoko.Hivi ikitokea mahakama ikatoa uamuzi kuwa covid 19 siyo wabunge, Ndugai ataendelea atawakumbatia kwenye mikono sàlama?
Hapa ndio wanasheria za katiba, nk wanaponiudhi. Kwanini wasimfungulie kesi ya kikatiba kwani anavunja katiba wazi na watu wanamuacha?
CHADEMA, ACT, WATETEZI WA HAKI, MAWAKILI, CHAMA CHA WANASHERIA, SHULE YA SHERIA NK. MBONA MKO KIMYA?
Ukimsikiliza vizuri Spika Ndugai utagundua hana kabisa ule utimamu unaotakiwa mtu asifunguliwe faili katika ile hospitali yetu pale Dodoma hivyo yale maelezo yake kuwa analo faili kule ni kweli na hakuwa anatania.
Hebu fikiria mbona ayasemayo kuwa wapinzania eti wanafanya ndiyo afanyayo yeye na haheshimu utu wa wengine?
Kama hawezi kuziona kasoro hizo jee yuko timamu huyu?
Na kwa nini anafanya atakalo kinyume na katiba na sheria na hakuna anaye muonya au kumkemea even Rais Samia?
Au wanaogopa kutembezewa kipigo kama yule mgombea ubunge wa Kongwa aliyekula rungu la kichwa?

Huyu mzee ni chizi kabisaTangia Uhuru Tanzania haijawahi kupata spika wa hovyo kama andunje ndugai, kama aliweza kuwafukuza wabunge halali wa cuf na mahakama haikufanya chochote sioni kama ataacha kuwakumbatia wabunge haramu wa covid19