Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Wameshachacha hao unaowabeba
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimsikiliza vizuri Spika Ndugai utagundua hana kabisa ule utimamu unaotakiwa mtu asifunguliwe faili katika ile hospitali yetu pale Dodoma hivyo yale maelezo yake kuwa analo faili kule ni kweli na hakuwa anatania.
Hebu fikiria mbona ayasemayo kuwa wapinzania eti wanafanya ndiyo afanyayo yeye na haheshimu utu wa wengine?
Kama hawezi kuziona kasoro hizo jee yuko timamu huyu?
Na kwa nini anafanya atakalo kinyume na katiba na sheria na hakuna anaye muonya au kumkemea even Rais Samia?
Au wanaogopa kutembezewa kipigo kama yule mgombea ubunge wa Kongwa aliyekula rungu la kichwa?
Tanzania tumepata hasara huyu mgogo hakupaswa kuaminiwa kwenye madaraka makubwa aliyopewa na bahati mbaya sana baadhi ya wana ccm wanatumia ujinga wake kufanya mambo yao yaende.
Mkuu kosa lake ni nini?Nape zamu hii lazima avuliwe uanachama wa ccm, apoteze na hako kaubunge kake, akaungane na wenzake chadema. He is too much. Zamu ile aliomba samahani na akasamehewa (kwa mazungumuzo yake kwenye simu yaliyodukuliwa, wakimsema vibaya aliyekuwa rais wa JMT wakipanga mipango mibaya dhidi ya serikali). Avuliwe uanachama wake wa ccm na tuone kama atang'ang'ania huo ubunge.
Juzi tulimwona akiwa na akina Lissu kwenye zoom wakiisema vibaya serikali ya awamu ya 6 chini ya mama yetu SSH!
Alipofukuza wabunge 8 wa cuf mwaka 2017 alizingatia haya?
Si Magufuli kafa na matatizo yote yameisha?Ni kweli mkuu huu ushauri wako kwa hizo taasisi ni wa maana sana, ni vyema wakaufanyia kazi. Lakini uzoefu unaonyesha viongozi wengi wa kiafrika huwa hawaheshimu katiba, wala hawaogopi mahakama, bali huogopa nguvu ya umma tu. Bila nguvu ya umma usitegemee lolote la maana huko mahakamani, kwani amri inaweza kutolewa na bado usifuatwe,ushahidi wa hilo upo.
Kwa tabia yako ni kama vile watokea kwao akina BashiruNape zamu hii lazima avuliwe uanachama wa ccm, apoteze na hako kaubunge kake, akaungane na wenzake chadema. He is too much. Zamu ile aliomba samahani na akasamehewa (kwa mazungumuzo yake kwenye simu yaliyodukuliwa, wakimsema vibaya aliyekuwa rais wa JMT wakipanga mipango mibaya dhidi ya serikali). Avuliwe uanachama wake wa ccm na tuone kama atang'ang'ania huo ubunge.
Juzi tulimwona akiwa na akina Lissu kwenye zoom wakiisema vibaya serikali ya awamu ya 6 chini ya mama yetu SSH!
Ndugu yangu nisamehe, huyu Ndugai hajawahi kuwa mzalendo kwa nchi na taifa hili, wakati wowote.Huyu spika kapoteza uzalendo kwa taifa, huwezi kuvunja katiba kizembe kiasi hicho. .
Ndio maana nikasema tangia Uhuru Tanzania haijawahi kupata spika wa hovyo kama dikiteta ndugai, anaongoza bunge si kwa mujibu wa sheria Bali kwa jinsi anavyotaka yeye.CUF inakuhusu nini sisi adui wetu ni chadema
endeleeni kupuuza , uliambiwa fulani atakufa ukabisha sasa ilikuwaje ?Hahahaha akili zako kidogo sana
Naunga mkono wazo la nguvu ya umma kuonyesha hisia zao kwa kuzomea.Leo Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu, Spika wa Bunge Job Ndugai amesimama na kumkemea Nape Nauye, Mbunge wa Mtama ambaye hivi karibuni alitoa maoni yake binafsi kuwa wale wabunge 19 waliotimuliwa na CHADEMA sio wabunge halali.
Ndugai, akonekana mwenge wasiwasi na aliyepoteza mwelekeo akaanza kwa kujisifu kuwa yeye ni mzoefu, hivyo asipangiwe cha kufanya.
Ameenda mbali zaidi kwa kutaka kuonesha kuwa akina mama hao 19 wanaonewa na mfumo dume uliopo CHADEMA. Ndugai anasahau yeye na Profesa Lipumba walichowafanyia akina mama wa CUF walipovuliwa ubunge kwa kimemo cha Lipumba.
Mzee Ndugai atabaki katika historia kama SPIKA DHAIFU kuwahi kutokea. Tunazitaka Mamlaka za kulinda Katiba kuhakikisha KATIBA inalindwa.
Ikiwezekana kila NDUGAI atakapoonekana hadharani azomewe kwa aibu anayoiletea Taifa.